WAZEE WA KIMILA NA WAKIDINI WAASWA KUKAA NA VIJANA KUEPUKA MAOVU
KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda wa pili kulia akiwa anatoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya ziara yake katika mkoa wa Arusha
Waandishi wa habari wakiwa kazini
KATIBU mkuu wa umoja wa vijana ccm (UVCCM) Taifa , Sixtus Mapunda amewataka wazee wa kimila (malwaigwanan), viongozi wa dini pamoja na wazazi kutumia muda wa ziada kukaa na vijana wao na kukemea kuacha mara moja kutumiwa katika vitendo viovu vinavyoendelea mkoani hapa.
Alisema kuwa ,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi18 Jul
Wazee wa kimila sasa wamwangukia Lowassa
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Wazee wa kimila wawatisha waliofukuliwa Nyangalata
10 years ago
VijimamboWAWAKILISHI WA MABARAZA YA WAZEE WA KIMILA WAKIMASAI WAKUTANA NA KINANA
Wataka wafugaji wamilikishwe ardhi
Waitaka serikali kuboresha maisha ya wafugaji
Wataka wazawa wapewe kipaumbele zaidi
Watoa salaam kwa Rais ,wampa pole na wamshukuru kwa kutimiza ahadi yake ya kuwapa mifugo.Diwani wa Viti Maalum Ngorongoro Tina Timan akizungumza wakati wa mkutano na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alitaka mamlaka husika kubadili sheria kandamizi ili jamii ya Wamasai wafaidike na ardhi yao .Mwakilishi...
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
Wawakilishi wa mabaraza ya wazee wa kimila wa Kimasai wakutana na Kinana
-Waitaka serikali kuboresha maisha ya wafugaji
-Wataka wazawa wapewe kipaumbele zaidi
-Watoa salaam kwa Rais ,wampa pole na wamshukuru kwa kutimiza ahadi yake ya kuwapa mifugo.
Diwani wa Viti Maalum Ngorongoro Tina Timan akizungumza wakati wa mkutano na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ambapo alitaka mamlaka husika kubadili sheria kandamizi ili jamii ya Wamasai wafaidike na ardhi...
5 years ago
MichuziOXFAM TANZANIA YAWANOA WATAALAM WA AFYA,WAZEE WA KIMILA VITA YA CORONA.
Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akiendesha mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya Hanang',Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari za virusi vya corona na namna ya kujikinga
Washiriki wakiwa kwenye mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uelewa dhidi ya athari za virusi vya Corona na namna ya kujikinga ikihusishwa na maswala ya kijinsia na kazi za nyumbani yaliyoandaliwa na shirika la Oxfam Tanzania
Afisa...
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Waaswa kuepuka vishawishi vya ngono
WANAFUNZI waliohitimu darasa la saba shule ya Msingi Tagamenda Kalenga Iringa Vijijini wameaswa kudumisha nidhamu, maadili na kuepuka vishawishi vya ngono za umri mdogo badala yake wazingatie masomo ya Sekondari...
10 years ago
Habarileo29 Oct
Waislamu waaswa kuepuka vurugu za kisiasa
WAUMINI wa dini ya Kiislamu wametakiwa kuwa mstari wa mbele kukemea vurugu za aina zote zitakazohusishwa na vyama vya siasa wakati huu ambapo nchi inaelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu na Uchaguzi Mkuu mwakani.
10 years ago
Habarileo15 Sep
Waaswa kuepuka wanasiasa wenye uchu wa madaraka
WATANZANIA wametakiwa kuepuka wanasiasa wenye uchu wa madaraka ambao wamekuwa wakilazimisha mambo, ikiwa ni pamoja na kutoa kauli zinazoashiria kuvunjika kwa amani na utulivu uliodumu kwa miaka 53 sasa.
5 years ago
MichuziASKARI WAASWA KUEPUKA VITENDO VINAVYOLITIA DOSARI JESHI LA POLISI
Na Stella Kalinga, Simiyu.Askari mkoani Simiyu wameaswa kulinda hadhi ya jeshi la polisi kwa kujiepusha na vitendo viovu vinavyolitia dosari jeshi hilo.
Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Anthony Mtaka wakati akizungumza na askari polisi wa mkoa huo Februari 17, 2020 ambapo amevitaja vitendo hivyo kuwa ni pamoja na kutoa siri za jeshi, kuomba rushwa, utapeli na kushiriki kuharibu ushahidi katika baadhi ya kesi.
“Ni jambo la aibu kwa askari kushiriki katika uhalifu, ...