Waliookolewa Nyangalata wakataliwa kwenda Bugando
Wakati wachimbaji dhahabu waliokuwa wamefukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata, Msalala na kuokolewa baada ya siku 41 wakiomba kuhamishiwa Hospitali ya Rufani ya Bugando (BMC) Mwanza, Serikali imesema wataendelea kutibiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kahama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Mali za waliookolewa zilirithiwa
9 years ago
Mtanzania24 Nov
Lowassa awatembelea wachimbaji waliookolewa
Lowassa awatembelea wachimbaji waliookolewa
Paul Kayanda na Elizabeth Maximillian, Kahama
ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowasa amewatembelea wachimbaji wadogo wa mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama ambao walifukiwa na kifusi mgodini kwa siku 41 na kuwapa pole ya Sh milioni mbili.
Lowassa alifanya ziara hiyo siku moja baada ya mchimbaji mmoja, Onyiwa Kaiwao (55) kufariki dunia juzi kwa kushindwa kupumua baada ya kutapika na sehemu ya...
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Uraia pacha wakataliwa
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
Na mwandishi Wetu
RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.
Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.
“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
Uhamisho wa Adebayor wakataliwa
10 years ago
BBCSwahili11 Mar
Watoto waliookolewa wasahau majina yao
9 years ago
BBCSwahili19 Nov
Wachimbaji migodi waliookolewa wakosa mali
10 years ago
BBCSwahili01 Nov
Wamisri wakataliwa kuingia Tripoli
10 years ago
BBCSwahili26 Nov
Wasio na waume wakataliwa migahawani
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Ukawa wakataliwa Jangwani Jumamosi