Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uhamisho wa Adebayor wakataliwa

Daniel Levy aliingilia kati ili kusitisha uhamisho wa mshambuliaji nyota Emmanuel Adebayor aliyetaka kujiunga na West Ham

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE: ADEBAYOR KUMWAGA 'UBUYU' MWINGINE WA MDOGO WAKE ROTIMI

Adebayor ametupia picha hii Facebook na kuahidi kutoa sehemu ya 2 ya stori ya kaka yake Rotimi. SAKATA la straika wa Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, Emmanuel Adebayor na familia yake limechukua sura mpya ambapo staa huyo ameahidi kutoa sehemu ya pili ya stori 'ubuyu' mwingine kuhusu kaka yake mwingine aitwaye Rotimi Adebayor muda muafaka ukifika. Adebayor ameahidi kutoa ubuyu huo ikiwa ni siku chache tangu aachie waraka...

 

10 years ago

Mtanzania

Uraia pacha wakataliwa

Bunge

Bunge

Na mwandishi Wetu

RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.

Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.

“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wamisri wakataliwa kuingia Tripoli

Raia wa Misri wanasa uwanja wa ndege baada ya kukataliwa kuingia Tripoli, Libya, kwa sababu ya shutuma dhidi ya serikali yao

 

10 years ago

BBCSwahili

Wasio na waume wakataliwa migahawani

Migahawa nchini Saudi Arabia imeagizwa kuondoa maelezo yanayowataka wanawake ambao hawana waume kuingia.

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wakataliwa Jangwani Jumamosi

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umesema utatumia viwanja vya Jangwani Jumamosi, wiki hii, kuzindua kampeni za urais licha ya kupokea barua toka Manispaa ya Ilala inayoeleza kuwa siku hiyo kuna watu watatumia eneo hilo.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mpango mpya wa mafao wakataliwa


NA RABIA BAKARI
BAADHI ya vyama vya wafanyakazi nchini, vimepinga mchakato wa serikali ulioanza wa mapendekezo ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii,  unaokwenda sambamba na mapendekezo ya kupunguza viwango vya sasa vya mafao kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Vimesema mchakato huo unakiuka haki za wafanyakazi kwa kuwa muda mrefu wafanyakazi nchini wamekuwa wakilalamikia mapato madogo kutokana na kodi kubwa inayotozwa kwenye mishahara yao pamoja na...

 

9 years ago

Mwananchi

Waliookolewa Nyangalata wakataliwa kwenda Bugando

Wakati wachimbaji dhahabu waliokuwa wamefukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata, Msalala na kuokolewa baada ya siku 41 wakiomba kuhamishiwa Hospitali ya Rufani ya Bugando (BMC) Mwanza, Serikali imesema wataendelea kutibiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kahama.

 

9 years ago

BBCSwahili

Uhamisho wa De Gea wakwama

Uhamisho wa Golikipa David De Gea kutoka Manchester United kwenda Real Madrid ya Hispania umekwama

 

9 years ago

Mwananchi

Uhamisho mkubwa msimu wa 2015/16

Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza Jumamosi hii huku klabu za Simba, Yanga na Azam zikiwa ndiyo zilizotumia gharama kubwa kwenye usajili katika msimu huu wa 2015/16.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani