Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasio na waume wakataliwa migahawani

Migahawa nchini Saudi Arabia imeagizwa kuondoa maelezo yanayowataka wanawake ambao hawana waume kuingia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Uhamisho wa Adebayor wakataliwa

Daniel Levy aliingilia kati ili kusitisha uhamisho wa mshambuliaji nyota Emmanuel Adebayor aliyetaka kujiunga na West Ham

 

10 years ago

Mtanzania

Uraia pacha wakataliwa

Bunge

Bunge

Na mwandishi Wetu

RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.

Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.

“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Mpango mpya wa mafao wakataliwa


NA RABIA BAKARI
BAADHI ya vyama vya wafanyakazi nchini, vimepinga mchakato wa serikali ulioanza wa mapendekezo ya kuimarisha Mifuko ya Hifadhi ya Jamii,  unaokwenda sambamba na mapendekezo ya kupunguza viwango vya sasa vya mafao kupitia Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA).
Vimesema mchakato huo unakiuka haki za wafanyakazi kwa kuwa muda mrefu wafanyakazi nchini wamekuwa wakilalamikia mapato madogo kutokana na kodi kubwa inayotozwa kwenye mishahara yao pamoja na...

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa wakataliwa Jangwani Jumamosi

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umesema utatumia viwanja vya Jangwani Jumamosi, wiki hii, kuzindua kampeni za urais licha ya kupokea barua toka Manispaa ya Ilala inayoeleza kuwa siku hiyo kuna watu watatumia eneo hilo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Wamisri wakataliwa kuingia Tripoli

Raia wa Misri wanasa uwanja wa ndege baada ya kukataliwa kuingia Tripoli, Libya, kwa sababu ya shutuma dhidi ya serikali yao

 

9 years ago

Mwananchi

Waliookolewa Nyangalata wakataliwa kwenda Bugando

Wakati wachimbaji dhahabu waliokuwa wamefukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata, Msalala na kuokolewa baada ya siku 41 wakiomba kuhamishiwa Hospitali ya Rufani ya Bugando (BMC) Mwanza, Serikali imesema wataendelea kutibiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kahama.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Aolewa na waume wawili

MKAZI wa Kijiji cha Kandete, Kata ya Kandete katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya, Suzana Osea (25), amezua tafrani baada ya kuolewa na wanaume wawili kijijini humo....

 

10 years ago

GPL

JACK: WAUME ZA WATU WATATUUA

Na Imelda Mtema
Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan amefunguka kuwa mastaa wamepachikwa nembo ya kuwa ni vinara wa kubeba waume za watu jambo ambalo linawapa sifa mbaya. Staa aliyepata umaarufu kupitia Shindano la Maisha Plus, Jacqueline Dustan. Akizungumzia mwenendo wa mastaa wengi kuhusishwa na skendo ya kutembea na waume za watu, Jack alisema:
“Yaani sisi mastaa tumepachikwa...

 

11 years ago

GPL

RAYUU AKOMALIA WAUME ZA WATU

Stori: Mayasa Mariwata
MSANII kinda kwenye tasnia ya filamu Bongo, Rahma Bagenzi ‘Rayuu’ amesema kuwa, kamwe hatokoma kutembea na waume za watu kwa kuwa sheria ya dini yake ya Kiislamu inamruhusu kuolewa na mume wa mtu. Rahma Bagenzi ‘Rayuu’. Akipiga stori na paparazi wetu, Rayuu alisema kipindi cha nyuma aliwahi kutoka kimapenzi na mume wa mtu (hakumtaja jina) na kufikia hatua ya kufikishwa polisi na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani