Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa awatembelea wachimbaji waliookolewa

MTZ DAILY.indd  Lowassa awatembelea wachimbaji waliookolewa

Paul Kayanda na Elizabeth Maximillian, Kahama

ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowasa amewatembelea wachimbaji wadogo wa mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama   ambao walifukiwa na kifusi mgodini kwa siku 41 na kuwapa pole ya Sh milioni mbili.

Lowassa alifanya ziara hiyo siku moja baada ya mchimbaji mmoja, Onyiwa Kaiwao (55) kufariki dunia juzi kwa kushindwa kupumua baada ya  kutapika na sehemu ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wachimbaji migodi waliookolewa wakosa mali

Wachimbaji migodi waliookolewa baada ya kukaa chini ya ardhi siku 41 wanakabiliwa na kizungumkuti baada yao kugundua jamaa walirithi mali yao.

 

9 years ago

Mwananchi

Mali za waliookolewa zilirithiwa

Hakuna msiba usiokuwa na mwenziwe. Msiba wa kwanza uliowapata wachimbaji watano wa madini katika machimbo ya Nyangalata wilayani Kahama, Shinyanga ulikuwa wa kufukiwa na kifusi na kuishi shimoni kwa shida kwa siku 41, lakini msiba wa pili baada ya kuokolewa ni kukuta mali walizokuwa wanamiliki zimerithiwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliookolewa Nyangalata wakataliwa kwenda Bugando

Wakati wachimbaji dhahabu waliokuwa wamefukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata, Msalala na kuokolewa baada ya siku 41 wakiomba kuhamishiwa Hospitali ya Rufani ya Bugando (BMC) Mwanza, Serikali imesema wataendelea kutibiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kahama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto waliookolewa wasahau majina yao

Takriban watoto 80 waliookolewa katika kambi ya kundi la Boko Haram nchini Cameroon hawawezi kukumbuka majina yao

 

9 years ago

Mwananchi

Waliookolewa ajira za utotoni wafanya vizuri darasani

Miaka mitatu iliyopita ajira kwa watoto mkoani Geita katika migodi ya dhahabu ilikuwa ni jambo lililokithiri.

 

10 years ago

Habarileo

Waziri Mkuu awatembelea waathirika wa ajali

WAZIRI Mkuu M i z e n g o Pinda amewatembelea askari Polisi waliolazwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Mbeya kutokana na ajali waliyopata juzi wakati msafara wake ukielekea Kata ya Galula wilayani Chunya.

 

10 years ago

GPL

MR CHAMPIONI AWATEMBELEA WASOMAJI WAKE DAR

Mr Championi (kushoto) akiwa na msomaji wa Championi.
Msomaji akionyesha zawadi aliyopewa na Mr Champion.
Mdau maarufu wa gazeti la Championi akifurahia zawadi.…

 

11 years ago

Mwananchi

JK awatembelea Maranda, Mkambala waliolazwa Moi

Rais Jakaya Kikwete jana alimtembelea mfungwa, Rajabu Maranda anayetumikia kifungo cha miaka 18 gerezani kwa wizi wa fedha katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akisumbuliwa na tatizo la mgongo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Ubungo Said Kubenea awatembelea wananchi wake kuwashukuru!

 Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Said Kubenea akiongea na wananchi Stendi ya Mabasi ya Ubungo Dar es Salaam leo, kuwashukuru kwa kumchagua na kujua changamoto zao mbalimbali. Mbunge huyo jana alitembelea Soko la Ndizi la Mabibo, Soko la Mabibo, Kituo cha Mabasi cha Mawasiliano  na kumpa pole ya sh. milioni 1.1 Diwani wa Kata ya Manzese, Ramadhani Kwangaya ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Mus’ab kilicho chomwa moto na kuunguza magodoro 30.  Kubenea akizungumza na waandishi wa habari na wananchi katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani