Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wachimbaji migodi waliookolewa wakosa mali

Wachimbaji migodi waliookolewa baada ya kukaa chini ya ardhi siku 41 wanakabiliwa na kizungumkuti baada yao kugundua jamaa walirithi mali yao.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa awatembelea wachimbaji waliookolewa

MTZ DAILY.indd  Lowassa awatembelea wachimbaji waliookolewa

Paul Kayanda na Elizabeth Maximillian, Kahama

ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowasa amewatembelea wachimbaji wadogo wa mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama   ambao walifukiwa na kifusi mgodini kwa siku 41 na kuwapa pole ya Sh milioni mbili.

Lowassa alifanya ziara hiyo siku moja baada ya mchimbaji mmoja, Onyiwa Kaiwao (55) kufariki dunia juzi kwa kushindwa kupumua baada ya  kutapika na sehemu ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Mali za waliookolewa zilirithiwa

Hakuna msiba usiokuwa na mwenziwe. Msiba wa kwanza uliowapata wachimbaji watano wa madini katika machimbo ya Nyangalata wilayani Kahama, Shinyanga ulikuwa wa kufukiwa na kifusi na kuishi shimoni kwa shida kwa siku 41, lakini msiba wa pili baada ya kuokolewa ni kukuta mali walizokuwa wanamiliki zimerithiwa.

 

9 years ago

Global Publishers

Wachimbaji wadogo wa Tanzanite wapinga kufungiwa migodi yao

8c6650e7-7156-45ae-b006-02e64a1bc497Mwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Omary Mandari akizungumza kwenye mkutano wao ambapo waliazimia kuandamana kwa amani kupinga migodi yao 19 kusimamishwa kufanya kazi.38941dfc-84bd-4129-bf67-bb25162cfbdeMwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Zephania Joseph akizungumza kwenye mkutano wao ambapo waliazimia kuandamana kwa amani...

 

9 years ago

Michuzi

wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani kupinga kufungiwa migodi yao

Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanatarajia kuandamana kwa amani ili kupinga migodi yao 19 inayopakana na kampuni ya TanzaniteOne kufungiwa.  Mwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Omary Mandari akizungumza kwenye mkutano wao ambapo waliazimia kuandamana kwa amani kupinga migodi yao 19 kusimamishwa kufanya kazi. Mwanachama wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto waliookolewa wasahau majina yao

Takriban watoto 80 waliookolewa katika kambi ya kundi la Boko Haram nchini Cameroon hawawezi kukumbuka majina yao

 

9 years ago

Mwananchi

Waliookolewa Nyangalata wakataliwa kwenda Bugando

Wakati wachimbaji dhahabu waliokuwa wamefukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata, Msalala na kuokolewa baada ya siku 41 wakiomba kuhamishiwa Hospitali ya Rufani ya Bugando (BMC) Mwanza, Serikali imesema wataendelea kutibiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kahama.

 

9 years ago

Mwananchi

Waliookolewa ajira za utotoni wafanya vizuri darasani

Miaka mitatu iliyopita ajira kwa watoto mkoani Geita katika migodi ya dhahabu ilikuwa ni jambo lililokithiri.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi wakosa faragha

SERIKALI imekiri kuwa baadhi ya askari Polisi na hata wa Magereza, hawana makazi yanayoridhisha hatua inayosababisha wazazi kukosa faragha wanayoihitaji katika jamii.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Walimu wakosa vyoo

WALIMU wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Mandewa katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida hawana vyoo kwa miaka nane sasa, halia ainayowalazimu kutumia vyoo vya wanafunzi. Kufuatia hali hiyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani