Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mali za waliookolewa zilirithiwa

Hakuna msiba usiokuwa na mwenziwe. Msiba wa kwanza uliowapata wachimbaji watano wa madini katika machimbo ya Nyangalata wilayani Kahama, Shinyanga ulikuwa wa kufukiwa na kifusi na kuishi shimoni kwa shida kwa siku 41, lakini msiba wa pili baada ya kuokolewa ni kukuta mali walizokuwa wanamiliki zimerithiwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Wachimbaji migodi waliookolewa wakosa mali

Wachimbaji migodi waliookolewa baada ya kukaa chini ya ardhi siku 41 wanakabiliwa na kizungumkuti baada yao kugundua jamaa walirithi mali yao.

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa awatembelea wachimbaji waliookolewa

MTZ DAILY.indd  Lowassa awatembelea wachimbaji waliookolewa

Paul Kayanda na Elizabeth Maximillian, Kahama

ALIYEKUWA Mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowasa amewatembelea wachimbaji wadogo wa mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama   ambao walifukiwa na kifusi mgodini kwa siku 41 na kuwapa pole ya Sh milioni mbili.

Lowassa alifanya ziara hiyo siku moja baada ya mchimbaji mmoja, Onyiwa Kaiwao (55) kufariki dunia juzi kwa kushindwa kupumua baada ya  kutapika na sehemu ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Waliookolewa Nyangalata wakataliwa kwenda Bugando

Wakati wachimbaji dhahabu waliokuwa wamefukiwa kwenye machimbo ya Nyangalata, Msalala na kuokolewa baada ya siku 41 wakiomba kuhamishiwa Hospitali ya Rufani ya Bugando (BMC) Mwanza, Serikali imesema wataendelea kutibiwa katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Kahama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Watoto waliookolewa wasahau majina yao

Takriban watoto 80 waliookolewa katika kambi ya kundi la Boko Haram nchini Cameroon hawawezi kukumbuka majina yao

 

9 years ago

Mwananchi

Waliookolewa ajira za utotoni wafanya vizuri darasani

Miaka mitatu iliyopita ajira kwa watoto mkoani Geita katika migodi ya dhahabu ilikuwa ni jambo lililokithiri.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani