Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Mkuu awatembelea waathirika wa ajali

WAZIRI Mkuu M i z e n g o Pinda amewatembelea askari Polisi waliolazwa kwenye Hospitali ya Mkoa wa Mbeya kutokana na ajali waliyopata juzi wakati msafara wake ukielekea Kata ya Galula wilayani Chunya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

OFISI YA WAZIRI MKUU YAKAGUA UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA YA MVUA YA MAWE NA UPEPO MWAKATA

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florens Turuka (mwenye miwani) akimsikiliza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala, Patrick Karangwa wakati alipokagua ujenzi wa nyumba za waathirika wa maafa Kijijini Mwakata, Kahama, tarehe 30 Agosti, 2015. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt. Florens Turuka akimsikiliza mwenyekiti Kijiji cha Mwakata wilayani Kahama, Ezekieli Ramadhani akitafsiri kwa Kiswahili shukrani zizokuwa zikitolewa kwa kisukuma na Bi. Rugumba Msenga kwa serikali...

 

9 years ago

BBCSwahili

Waziri mkuu wa Benin anusurika ajali ya ndege

Waziri mkuu wa Benin, Lionel Zinsou, anasemekana kuwa salama baada ya ndege ya helikopta alimokuwa akisafiria, kuanguka ilipokuwa ikitua kaskazini mwa nchi hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

JK awalilia waathirika ajali ya Tabora

RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatma Mwasa kutokana na ajali ya barabarani iliyotokea katika Kijiji cha Mlogolo, Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora.

 

11 years ago

Habarileo

Waathirika wa ajali ya moto Pemba wasaidiwa

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba , Dadi Faki Dadi, amezipongeza taasisi za Serikali na watu binafsi kwa kusaidia watu waliopatwa na ajali ya nyumba zao kuteketea kwa moto huko Pemba. Dadi alitoa kauli hiyo wakati akipokea bidhaa mbalimbali za vyakula na mchele, unga wa ngano pamoja na sukari vikiwa na thamani ya Sh milioni 5 kutoka kwa uongozi wa Shirika la Taifa la Biashara la Zanzibar (ZSTC).

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

10 years ago

Mwananchi

NYANZA: Waziri Kamani awafariji waathirika wa mafuriko

>Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi ambaye pia ni Mbunge wa Busega, Dk Titus Kamani amewatembelea waathirika wa mafuriko katika Kijiji cha Lamadi na kushuhudia hali halisi ya maafa hayo.

 

10 years ago

GPL

KAMATI YA PAC YAMTAKA WAZIRI MKUU, MWANASHERIA MKUU, WAZIRI WA NISHATI NA MADINI WAWAJIBIKE KUHUSU RIPOTI YA TEGETA ESCROW

Waziri Mkuu Mizengo Pinda. WAZIRI MKUU - Kamati imesema imejiridhisha pasipo mashaka kuwa, Waziri Mkuu, alikuwa ana taarifa zote kuhusiana na mchakato mzima wa kuchotwa fedha kutoka katika akaunti ya ESCROW. -Kamati, kwa kuzingatia kielelezo namba 22, inathibitisha bila shaka kwamba, Waziri Mkuu alikuwa analijua jambo hili vizuri na kwamba aliridhia muamala huu ufanyike. Ndiyo maana katika maelezo yake ya
Bungeni mara kadhaa...

 

9 years ago

MillardAyo

Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa..

December 18 2015 nilikusogezea ripoti kutoka Iringa Tanzania, ilihusu ajali ya basi la abiria la Kampuni ya New Force Ltd ambalo lililongana na lori la mbao lilibeba mbao kutoka Njombe kwenda Dar es Salaam… watu 12  walifariki na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli ametuma salamu […]

The post Salamu kutoka kwa Rais Magufuli kwa waathirika wa ajali ya December 18 Iringa.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MSTAAFU AMKABIDHI RASMI OFISI WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkaribisha  Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda  ambaye Novemba 30,2015 alikwenda ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo  Pinda ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Novemba 30, 2015 kukabidhi Ofisi.  Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa na Waziri Mkuu, Mstaafu, Mizengo Pinda wakimsikiliza  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani