Mbunge wa Ubungo Said Kubenea awatembelea wananchi wake kuwashukuru!
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Said Kubenea akiongea na wananchi Stendi ya Mabasi ya Ubungo Dar es Salaam leo, kuwashukuru kwa kumchagua na kujua changamoto zao mbalimbali. Mbunge huyo jana alitembelea Soko la Ndizi la Mabibo, Soko la Mabibo, Kituo cha Mabasi cha Mawasiliano na kumpa pole ya sh. milioni 1.1 Diwani wa Kata ya Manzese, Ramadhani Kwangaya ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Mus’ab kilicho chomwa moto na kuunguza magodoro 30.
Kubenea akizungumza na waandishi wa habari na wananchi katika...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziKUBENEA AWATEMBELEA WANANCHI WAKE KUWASHUKURU KWA KUMCHAGUA NA KUJUA CHANGAMOTO ZAO
9 years ago
CHADEMA Blog![](http://1.bp.blogspot.com/-QYpp5ZYx7l8/Vm_wzz7So3I/AAAAAAAAXc8/PCWJGTLEaTU/s72-c/8-chadema.jpg)
CHADEMA yalaani kukamatwa kwa Mbunge wa Ubungo Kubenea
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-aOA0EiUkKFQ/XoXYZmUSAKI/AAAAAAALl14/PDD_qhaVlrwFXIqJIQfNYT_wMAeMQdPOwCLcBGAsYHQ/s72-c/KUBENEA%2BHOJA.jpg)
MBUNGE WA UBUNGO SAID KUBENEA ASHAURI MISIKITI, MAKANISA IFUNGWE KUEPUKA CORONA
MBUNGE wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam Said Kubenea ameshauri ni kwanini misikiti na makanisa yasifungwe ili kuepusha waumini wa dini hizo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 (Corona).
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Kubenea amesema pamoja na hatua mbalimbali ambazo zinachukuliwa na Serikali na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto lakini iko haja ya kuchukua hatua zaidi ya zilizopo sasa.
Kubenea amesema kwa mujibu wa Shirika la Afya...
9 years ago
MichuziMBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, SAID KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO.
9 years ago
TheCitizen16 Dec
Ubungo MP Kubenea charged
10 years ago
TheCitizen02 Aug
Kubenea heads for Chadema nomination in Ubungo
10 years ago
Dewji Blog21 Jul
JUST IN: Saed Kubenea achukua fomu ya kuwania ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Ubungo
Mwanahabari mkongwe Saed Kubenea (pichani) achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge kupitia Chadema jimbo la Ubungo.
Saed Kubenea ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd., inayochapisha magazeti ya MwanaHALISI; MSETO; MwanaHALISI Online na MwanaHALISI Forum na ndiye mmiliki wa kampuni hiyo.
9 years ago
Mtanzania16 Dec
Lowassa kuanza ziara ya kuwashukuru wananchi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, anatarajia kufanya mkutano wa hadhara kesho jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kuwashukuru Watanzania waliompigia kura wakati wa uchaguzi mkuu.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, ilisema katika ziara hiyo Lowassa...
10 years ago
GPLMBUNGE MGIMWA APIGANIA UMEME KALENGA, WANANCHI WAKE WAMPONGEZA