Lowassa kuanza ziara ya kuwashukuru wananchi
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
ALIYEKUWA mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, anatarajia kufanya mkutano wa hadhara kesho jijini Tanga, ikiwa ni sehemu ya ziara ya kuwashukuru Watanzania waliompigia kura wakati wa uchaguzi mkuu.
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Chadema, Tumaini Makene, ilisema katika ziara hiyo Lowassa...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
CHADEMA Blog
MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA KUFANYA ZIARA YA KUWASHUKURU WAPIGA KURA
9 years ago
Dewji Blog27 Nov
Mbunge wa Ubungo Said Kubenea awatembelea wananchi wake kuwashukuru!
9 years ago
MichuziKUBENEA AWATEMBELEA WANANCHI WAKE KUWASHUKURU KWA KUMCHAGUA NA KUJUA CHANGAMOTO ZAO
11 years ago
Habarileo17 Jul
Kikwete kuanza ziara Ruvuma
RAIS Jakaya Kikwete leo anatarajia kuanza ziara ya siku saba mkoani Ruvuma. Katika ziara hiyo, Rais anatarajiwa kutembelea halmashauri zote sita zilizopo kwenye wilaya tano na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo.
11 years ago
Habarileo08 Jul
Kikwete kuanza ziara Tanga
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwasili mkoani Tanga leo asubuhi kwa ziara ya kikazi ya siku nne mkoani hapa, itakayoambatana na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika wilaya nne atakazotembelea.
10 years ago
Vijimambo
KINANA KUANZA ZIARA LINDI NA MTWARA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajia kufanya ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara.
Akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Sekretarieti,Lumumba jijini Dar es salaam Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye alisema kuwa Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara za Sekretarieti ya Halmashauri Kuu Taifa...
11 years ago
StarTV17 Oct
CHADEMA kuanza ziara ya kuipinga Katiba.
Na Grace Semfuko,
Dar Es Salaam.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kitaanza ziara maalum katika mikoa yote Nchini ya kuhamasisha wananchi kuikataa katiba inayopendekezwa kwa madai haijakidhi maslahi ya watanzania.
Chama hicho kimesema ziara hiyo itaanza kwa awamu katika jumuia zake ambapo Oktoba 17 itaanzia na jumuiya ya wanawake BAWACHA chini ya Mwenyekiti wake Halima Mdee.
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa amesema ziara hizo pia...
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Kinana kuanza ziara Dar es Salaam
11 years ago
Habarileo21 Mar
Rais kuanza ziara Tanga Jumapili
RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwasili mkoani Tanga kesho ili kuanza ziara ya siku nne ya kikazi katika baadhi ya maeneo ya mkoani humo. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa amebainisha hayo wakati akiwasilisha taarifa kwa vyombo vya habari kupitia mkutano na wanahabari uliofanyika ofisini kwake jana mchana.