Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHADEMA yalaani kukamatwa kwa Mbunge wa Ubungo Kubenea

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kama ambavyo imeripotiwa kwenye vyombo vya habari na njia zingine za upashanaji habari tangu jana kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Ndugu Saed Kubenea aliwekwa chini ya ulinzi na kuamriwa kwenda kituo cha polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ambaye inadaiwa hakutaka mbunge huyo azungumze na wananchi ambao ni

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

JUST IN: Saed Kubenea achukua fomu ya kuwania ubunge kwa tiketi ya Chadema jimbo la Ubungo

kubenea-mpoki

Mwanahabari mkongwe Saed Kubenea (pichani) achukua fomu kuomba ridhaa ya kuwania ubunge kupitia Chadema jimbo la Ubungo.

Saed Kubenea ni mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Hali Halisi Publishers Ltd., inayochapisha magazeti ya MwanaHALISI; MSETO; MwanaHALISI Online na MwanaHALISI Forum na ndiye mmiliki wa kampuni hiyo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa Ubungo Said Kubenea awatembelea wananchi wake kuwashukuru!

 Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Said Kubenea akiongea na wananchi Stendi ya Mabasi ya Ubungo Dar es Salaam leo, kuwashukuru kwa kumchagua na kujua changamoto zao mbalimbali. Mbunge huyo jana alitembelea Soko la Ndizi la Mabibo, Soko la Mabibo, Kituo cha Mabasi cha Mawasiliano  na kumpa pole ya sh. milioni 1.1 Diwani wa Kata ya Manzese, Ramadhani Kwangaya ambaye ni Mkuu wa Chuo cha Mus’ab kilicho chomwa moto na kuunguza magodoro 30.  Kubenea akizungumza na waandishi wa habari na wananchi katika...

 

10 years ago

TheCitizen

Kubenea heads for Chadema nomination in Ubungo

Hali Halisi managing editor Saed Kubenea is headed for nomination as the Chadema parliamentary candidate in Ubungo after emerging victorious in primary polls yesterday.

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE WA UBUNGO SAID KUBENEA ASHAURI MISIKITI, MAKANISA IFUNGWE KUEPUKA CORONA

Na Said Mwishehe, Michuzi TV

MBUNGE wa Jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam Said Kubenea ameshauri ni kwanini misikiti na makanisa yasifungwe ili kuepusha waumini wa dini hizo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 (Corona).

Akizungumza leo jijini Dar es Salaam, Kubenea amesema pamoja na hatua mbalimbali ambazo zinachukuliwa na Serikali na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , Wazee na Watoto lakini iko haja ya kuchukua hatua zaidi ya zilizopo sasa.

Kubenea amesema kwa mujibu wa Shirika la Afya...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, SAID KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO.

 Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea amefikishwa mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam mapema hii leo akielekea katika  chumba cha kusomewa shtaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Said Kubenea akiwa na wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo mara baada ya kusomewa shitaka lililokuwa likimkabiri katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.  Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea...

 

9 years ago

Dewji Blog

TACCEO yalaani kukamatwa waangalizi wa uchaguzi

Mmoja wa Wakurugenzi wa Mtandao wa Asasi za Kiraia za Uangalizi wa Chaguzi (TACCEO), Hebron Mwakagenda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Dar es Salaam jana, kuhusu Polisi kudaiwa kufanya uvamizi na kuwakamata waangalizi, vifaa binafsi na vifaa vya Kituo cha Uangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa 2015 katika kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Mbezi jijini Dar es Salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa LHRC, Imelda...

 

9 years ago

TheCitizen

Ubungo MP Kubenea charged

 Ubungo MP Saed Kubenea, 44, was yesterday charged with using abusive language against Kinondoni District Commissioner Paul Makonda.

 

9 years ago

Global Publishers

Mbunge wa Ubungo Mbaroni kwa Amri ya DC. Makonda

1Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), akipanda kwenye apelekwe kituoni.2 Wananchi wakitaharuki.3Mbunge Saed Kubenea mwenye (shati jeusi) wakitofautina na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, DC. Paul Makonda (mwenye fulana ya mistari).4 Hali ya sintofahamu.5Kubenea akizungumza jambo.

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) jana alikamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda.

Tukio hilo lilitokea kukiwa na mgomo wa wafanyakazi zaidi ya 1800...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

Mbunge wa Ubungo mbaroni kwa amri ya Makonda

MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema) amekamatwa na polisi eneo la viwanda (EPZA) Mabibo kwa amri ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Anaandika Josephat Isango … (endelea).Tukio hilo limetokea kukiwa na mgomo wa wafanyakazi zaidi ya 1800 wa kiwanda cha nguo cha TZ TOOKU ambao walimpigia mbunge wao aende kutatua mgogoro huo.Kubenea alifika katika eneo hilo saa 6 mchana, akakutana na

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani