Mashabiki wawatisha Yanga, wahofia kushuka kwenye gari
![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXtK1m05VfZa9b-VNYUU1fGvOKbj79-8WCbwi5Nvhj3NvblU9SjfIYWRL4U2rM0p1650I8ATsMzU75m5uLDKBhJG/mashabikiyanga.gif?width=650)
Wachezaji wa Yanga. Na Khadija Mngwai WACHEZAJI wa Yanga, juzi waliogopa kushuka kwenye gari ili kuanza mazoezi kutokana na kuwahofia mashabiki wao. Yanga, juzi jioni ilitua kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama kwa ajili ya mazoezi lakini walitumia zaidi ya dakika 10 kuwa ndani ya gari kwa kuhofia kupigwa na mashabiki. Habari zinasema kuwa Yanga walipata taarifa kuwa kama wakishuka mashabiki wa timu hiyo watawapiga kutokana na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/i41PO2l4KKV28w-G2WMgx9zdLl3SykartXHniLhPwLdY-C5nsaSxV-QpwM4I*ILk0SWicWkoA13g9L9qotOa6lsmy9TTF0O4/22.jpg)
Mashabiki wamzawadia gari msuva
10 years ago
Habarileo13 May
Wagoma kushuka kwenye karandinga
WATUHUMIWA 12 wa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha katika Mgodi wa Dhahabu wa Resolute jana waligoma kushuka kwenye karandinga la Polisi wakati walipowasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Tabora kwa kile walichodai kuwa kesi yao ambayo imedumu kwa miaka saba imekuwa inapigwa danadana na Mahakama hiyo.
10 years ago
Bongo508 Oct
Nikki Mbishi awashirikisha Jaydee, Songa na One kwenye ‘Kupanda na Kushuka’
11 years ago
Tanzania Daima28 Feb
Ushoga wawatisha wajumbe wa Katiba
WAKATI Rais wa Uganda , Yoweri Museveni, akikataa nchi hiyo kuruhusu mapenzi ya jinsia moja, Bunge Maalumu la Katiba jana lilitawaliwa na mjadala huo. Aliyeliibua mjadala huo ni Asha Bakari...
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Wazee wa kimila wawatisha waliofukuliwa Nyangalata
10 years ago
Vijimambo07 Mar
WIKI ENDI HII NI YANGA NA SIMBA HOMA KUSHUKA HOMA KUPANDA WACHEZAJI WENYEWE ROHO KWATU.
![SIMBA V YANGA 8](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/03/SIMBA-V-YANGA-8.gif)
10 years ago
Vijimambo09 Mar
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NvWHU5oq4Tbc3znYEWVDrQnXvbH2D2SleSEg-biEs1iaidUEsHtJrrQ*rQBSZjGzZ54-iqeqk-1skRC8rFA2AGSct9M4U-Od/mashabiki.jpg?width=650)
Mashabiki Yanga waishabikia Simba