Wagoma kushuka kwenye karandinga
WATUHUMIWA 12 wa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha katika Mgodi wa Dhahabu wa Resolute jana waligoma kushuka kwenye karandinga la Polisi wakati walipowasili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Wilaya ya Tabora kwa kile walichodai kuwa kesi yao ambayo imedumu kwa miaka saba imekuwa inapigwa danadana na Mahakama hiyo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Sep
Mahabusu wagoma kushuka garini
MAHABUSU wanaokabiliwa na kesi za mauaji kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana waligoma kushuka kwenye basi la Magereza kwa madai kwamba kesi zao zinachukua muda mrefu na upelelezi hauishi. Kutokana na mgomo huo, walirudishwa kwenye Gereza la Kisongo mkoani hapa.
10 years ago
Habarileo09 Jun
Sheikh Farid, wenzake wagoma kushuka
KIONGOZI wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki), Shekhe Farid Hadi Ahmed (45) na wenzake, jana waligoma kushuka kwenye gari la Magereza kwenda kusikiliza kesi ya ugaidi inayowakabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vf77AmMaeXtK1m05VfZa9b-VNYUU1fGvOKbj79-8WCbwi5Nvhj3NvblU9SjfIYWRL4U2rM0p1650I8ATsMzU75m5uLDKBhJG/mashabikiyanga.gif?width=650)
Mashabiki wawatisha Yanga, wahofia kushuka kwenye gari
10 years ago
Bongo508 Oct
Nikki Mbishi awashirikisha Jaydee, Songa na One kwenye ‘Kupanda na Kushuka’
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ZteVGwBpcEY/U7QRF1YEHiI/AAAAAAAFuZI/ha8_fQl4WU0/s72-c/1c08e25638ac6f84c8c08ea75fe7edb8.jpg)
majambazi yashambulia kwa risasi karandinga la magereza jijijni dar es salaam leo, shuhuda asimulia kilichotokea
10 years ago
Habarileo17 Sep
Bei ya umeme kushuka
SERIKALI imesema inatarajia kuondoa mitambo yote inayotumia mafuta katika kuzalisha umeme ifikapo Januari mwakani. Hali hiyo itaokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka, lakini pia kuwapa Watanzania umeme wa uhakika na wa gharama nafuu.
11 years ago
Habarileo22 Jul
Bei ya mafuta kushuka
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imeanza mchakato wa kutafuta namna ya kupunguza gharama za uingizaji wa mafuta nchini. Hatua hiyo itawezesha pia bei ya nishati hiyo nchini kushuka.
10 years ago
Habarileo12 Feb
Umeme kushuka bei
BAADA ya kushuka kwa bei ya mafuta nchini, wakati wowote kuanzia leo Shirika la Umeme Nchini (Tanesco) linatarajiwa kutangaza bei mpya za umeme ambazo zitakuwa na unafuu kwa wananchi.
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Bei kushuka:Nigeria yatikisika