Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIKI ENDI HII NI YANGA NA SIMBA HOMA KUSHUKA HOMA KUPANDA WACHEZAJI WENYEWE ROHO KWATU.

SIMBA V YANGA 8Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Simba SC na Young African utakaofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10 kamili za jioni.Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Martin Saanya kutoka Morogoro, akisaidiwa na Soud Lila (DSM) mshika  kibendera wa kwanza, Florentina Zabron (Dodoma) mshika kibendera wa pili, Mwamuzi wa akiba Israel Mjuni (DSM), na kamisaa wa mchezo ni Ame Santimeya (DSM).Viingilio vya mchezo...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Kushuka, kupanda kwa nauli wiki ijayo

Meneja Mawasiliano wa SUMATRA, David MzirayMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema hatma ya uamuzi kuhusu iwapo nauli ishuke au la itajulikana wiki ijayo.

 

10 years ago

Vijimambo

ULINZI WAIMARISHWA NDANI YA JIJI LA WASILO LALA NEW YORK CITY WIKI ENDI HII YA 4TH JULY


Hapa ni polisi akimpatia maelekezo wapi kwa kupita msafiri katika kituo kikubwa cha mabasi cha Port Authority New York City.Hapa ni Times Square sehemu maarufu sana ukifika New York City.Njemba zimesimama zikipanga mikakati ya jinsi ya kujipanga sehemu yao ya kazi.Polisi wakipeana majukumu tayari kuingia mzigoni.Kikosi maalumu cha Federal Emergency tayari kwa kukabiriana na lolote ndani ya 4th july wiki endi hii.

 

9 years ago

Mtanzania

Kerr sasa roho kwatu Msimbazi

simba-sports-club-212NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, ameanza kujivunia kikosi chake kuwa kwa sasa kipo imara na kinaweza kumpatia matokeo mazuri kwenye mechi zilizobakia za Ligi Kuu Tanzania Bara kama ilivyokuwa mkakati wake.

Simba hivi karibuni ilifanikiwa kuifunga Kimbunga FC ya Zanzibar kwa mabao 5-2, ikiwa ni mchezo wao wa kwanza wa majaribio tangu ligi isimame, kesho itajipima tena na timu nyingine visiwani humo.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Kerr alisema kadiri...

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu

DSC_0001

Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.

DSC_0002

Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.

DSC_0003

Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.

DSC_0004

DSC_0008

Aneth Kushaba AK47  toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.

DSC_0011

Joniko Flower kushoto  akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.

DSC_0014

 

11 years ago

BBCSwahili

TZ yapambana na Homa ya

Tanzania imesema inapambana na mlipuko wa homa ya Dengue iliyozuka mapema mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Tambo zatawala wachezaji wa Simba, Yanga

Yanga na Simba zitapambana Oktoba 18 ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

5 years ago

Michuzi

JOTO LAZIDI KUPANDA MECHI YANGA NA SIMBA, DAKIKA 90 ZA MCHEZO KUAMUA NANI MBABE

Na Said Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii

KADRI muda unavyosonga mbele kuelekea mechi ya watani wa jadi Yanga na Simba itakayochezwa leo Machi 8 mwaka huu 2020, saa 11 jioni mashabiki lukuki wameanza kujitokeza katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam huku kila upande ukiwa umejawa na tambo za ushindi.

Mechi ya Yanga na Simba ni moja ya mechi ambazo zimekuwa na utamaduni mkubwa wa kujaza mashabiki, wapenzi na wachama wa vilabu hivyo hasa kwa kuzingatia ni mechi ambayo hutawaliwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani