Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kushuka, kupanda kwa nauli wiki ijayo

Meneja Mawasiliano wa SUMATRA, David MzirayMAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesema hatma ya uamuzi kuhusu iwapo nauli ishuke au la itajulikana wiki ijayo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WIKI ENDI HII NI YANGA NA SIMBA HOMA KUSHUKA HOMA KUPANDA WACHEZAJI WENYEWE ROHO KWATU.

SIMBA V YANGA 8Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Simba SC na Young African utakaofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10 kamili za jioni.Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Martin Saanya kutoka Morogoro, akisaidiwa na Soud Lila (DSM) mshika  kibendera wa kwanza, Florentina Zabron (Dodoma) mshika kibendera wa pili, Mwamuzi wa akiba Israel Mjuni (DSM), na kamisaa wa mchezo ni Ame Santimeya (DSM).Viingilio vya mchezo...

 

9 years ago

Bongo Movies

Kupanda na Kushuka kwa Shirikisho la Filamu

SHIRIKISHO la filamu Tanzania (TAFF) lipo kwa miaka kadhaa huku tukishuhudia changamoto nyingi zinazokabiri shirikisho hilo ambalo pamoja na kuanzishwa kwake ni chombo kisichotengeneza fedha kutokana na vyama vinavyounda TAFF kukosa miradi kama michango kutoka kwa wanachama wake.

Mwakifwamba

Rais wa Taff Mwakifwamba

Taff imekuwepo kitambo lakini imekuwa Lulu baada ya kuanzisha michakato yenye tija kwa wasanii na wadau husika kwa chombo hicho kilicho chini ya Rais wake Simon Mwakifwamba ambaye amefanya...

 

10 years ago

Michuzi

MCHUMI WA BOT AELEZA SABABU ZA KUSHUKA NA KUPANDA GHAFLA KWA THAMANI YA SHILINGI YA TANZANIA

Mchumi kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Lusajo Mwankemwa akielezea sababu za kushuka na kupanda ghafla kwa thamani ya Shilingi ya Tanzania katika banda la BOT viwanja vya SabaSaba jijjini Dar es salaam Juni 30, 2015

 

11 years ago

CloudsFM

NAULI ZA DALADALA KUPANDA TENA

HATIMAYE picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka kati ya Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.

Kwa wanafunzi, nauli kwa ruti moja kwenda katika vituo hivyo vikubwa katika mradi huo ambao utaanza kwa majaribio mwishoni mwa mwaka huu, zitapanda kutoka Sh...

 

11 years ago

Habarileo

Nauli daladala Dar kupanda

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi, Jumanne Sagini,HATIMAYE picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka kati ya Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiwango cha nauli za daladala kushuka Dar es Salaam

Kiwango cha nauli kitakacholipwa baada ya kukamilika kwa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kinaelezwa kuwa ni kidogo ukilinganisha na kile kinacholipwa na abiria sasa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sababu za kupanda, kushuka uchumi 

MARA nyingi ikielezwa uchumi wa Tanzania umepanda, wananchi wengi wanakuwa hawaelewi kutokana na kutoona mabadiliko yoyote katika maisha yao ya kila siku. Kwa ujumla, uchumi unabeba mhimili wa mapato ya...

 

11 years ago

Habarileo

Watanzania wasubiri bei kupanda, kushuka

WATANZANIA leo wanaelekeza macho na masikio yao mjini Dodoma, kusikiliza Hotuba ya Bajeti ya Serikali, inayotarajiwa kusomwa saa 10 kamili bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum. Tayari Waziri Saada alishaeleza kuwa makadirio ya Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2014/15, unaoanza Julai mwaka huu, yatakuwa Sh trilioni 19.6 kutoka makadirio ya Sh trilioni 18.2 ya Bajeti inayoisha muda wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani