Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TZ yapambana na Homa ya

Tanzania imesema inapambana na mlipuko wa homa ya Dengue iliyozuka mapema mwaka huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WIKI ENDI HII NI YANGA NA SIMBA HOMA KUSHUKA HOMA KUPANDA WACHEZAJI WENYEWE ROHO KWATU.

SIMBA V YANGA 8Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa siku ya jumapili kati ya Simba SC na Young African utakaofanyika kwenye dimba la Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10 kamili za jioni.Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Martin Saanya kutoka Morogoro, akisaidiwa na Soud Lila (DSM) mshika  kibendera wa kwanza, Florentina Zabron (Dodoma) mshika kibendera wa pili, Mwamuzi wa akiba Israel Mjuni (DSM), na kamisaa wa mchezo ni Ame Santimeya (DSM).Viingilio vya mchezo...

 

9 years ago

BBCSwahili

Misri yapambana kurudisha watalii

Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amewahakikishia watalii wa Uingereza na Urusi kwamba nchi yake ni sehemu salama ya kutembelea.

 

10 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya DRC yapambana na waasi

Vikosi vya Jeshi la jamhuri ya kidemokrasia ya kongo vinaudhibiti mji wa Abya ulioko kaskazini mashariki mwa mji wa Beni .

 

9 years ago

BBCSwahili

Nigeria yapambana na ufisadi serikalini

Serikali yataka kila Wizara kuwa na Akaunti moja kupambana na udanganyifu

 

10 years ago

StarTV

Serikali yapambana na waingizaji sukari kinyemela.

Na Josephine Mwaiswaga,

Dar es salaam.

 

Waziri wa kilimo na Chakula Stephan Wassira amesema Serikali inafanya jitihada za kukabiliana na tatizo la uingizwaji wa sukari kwa njia zisizo rasmi ambazo zinapelekea kwa kiasi kikubwa kuathiri uwekezaji katika sekta ya kilimo cha muwa na viwanda vya sukari hapa nchini.

 

Aidha, Wassira amesema serikali inatambua na kuthamini uwekezaji na mapato makubwa yanayopatikana kupitia uwekezaji katika kilimo cha muwa hivyo kuna kila sababu ya kubaliana na...

 

11 years ago

Habarileo

Sampuli 60 zachunguzwa homa ya dengue

UKOSEFU wa vifaa tiba katika hospitali za wilaya mkoani Lindi, umesababisha watu 60 kuchukuliwa sampuli zao kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi kubaini ugonjwa wa dengue kwenye maabara mkoani Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Homa ya Ngao ya Jamii yapanda

HOMA ya pambano la ngao ya jamii zimezidi kupanda baada ya Yanga na Azam kurejea Dar es Salaam tayari kwa mechi hiyo itakayochezwa Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Vipimo homa ya dengue vyaadimika

>Taasisi ya Afya ya Ifakara kwa kushirikiana na ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa, wameamua kuanza kuchukua sampuli za damu za wagonjwa wanaohisiwa kuwa na maambukizi ya homa ya dengue na kwenda kuzifanyia vipimo katika ofisi ya Mkemia Mkuu.

 

11 years ago

Habarileo

Homa ya dengue yaibua tafrani

TAARIFA isiyo sahihi ya maambukizi ya homa ya dengue inayoenezwa na mbu aina ya aedes, imesababisha baadhi ya madereva teksi jijini Dar es Salaam, kujilinda kwa kuvaa glovu za mikononi, soksi ndefu miguuni na kujifungia muda wote katika magari yao hata ambayo hayana viyoyozi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani