Shughuli za uokozi zakwama upya Nepal
Watu 65 wameripotiwa kufariki kufuatia tetemeko lipya la ardhi lililotikisa Nepal hapo jana.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Jun
Nepal kufungua upya vivutio vya watalii
Serikali ya Nepal imetangaza kuwa itafungua upya vivutio vya watalii vilivyoharibiwa na tetemeko la ardhi
11 years ago
BBCSwahili17 Apr
Mawimbi yatatiza uokozi Korea Kusini
Mawimbi makali na hali mbaya ya hewa baharini imetatiza juhudi za kuwatafuta takriban watu mia tatu baada ya meli ya abiria kuzama katika pwani ya Korea kusini.
10 years ago
BBCSwahili15 Jan
Juhudi za uokozi zashika kasi Malawi
Juhudi za kuwaokoa watu walioathiriwa na mafuriko katika sehemu kubwa ya Malawi imeanza katika mafuriko mabaya kukumba nchi hio ambapo takriban watu 50 wamefariki
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Daladala zakwama kwenda Feri
USAFIRI wa daladala za kwenda Kivukoni uliotarajiwa kuanza mwishoni mwa Julai, umeshindikana kutokana na barabara kutokamilika. Siku chache zilizopita Mamlaka ya Usafirishaji wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), ilitangaza kurejesha...
10 years ago
Mwananchi24 Jan
Juhudi za kuokoa mali Mtwara zakwama
Agizo la Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Halima Dendegu la kunusuru wananchi na mali zao kutokana na mafuriko yaliyotokea mkoani hapa, limeshindwa kutekelezeka kikamilifu kutokana na ukosefu wa vifaa vya uokoaji.
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Juhudi za kuwaokoa waliokufa mgodini Nyangalata zakwama
Jitihada za kuwafukua wachimbaji saba waliokufa katika mgodi wa Nyangalata wilayani Kahama zimegonga mwamba baada ya Serikali kudai shughuli ya kuwatoa itachukua miezi miwili.
10 years ago
Mwananchi24 Oct
Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho
Ofisi ya Bunge imesema baadhi ya kamati zake zitalazimika kumalizia shughuli zake katika ofisi zao za Dar es Salaam, kwa kuwa haiwezi kuziwezesha zote kusafiri kwa ajili ya ukaguzi maeneo mbalimbali ya nchi.
10 years ago
BBCSwahili29 Apr
Misaada yasambazwa Nepal
Misaada ya kibinadamu imeanza kuwasili katika wilaya ya Dhading, karibu na kitovu cha tetemeko la ardhi lililotokea nchini Nepal
10 years ago
BBCSwahili13 May
Nepal yazidi kutetemeshwa
Hofu imeendelea Nepal ikiwa ni siku kumi na saba tu,baada ya tetemeko kubwa kuipiga nchi hiyo na kuua zaidi ya watu elfu nane.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania