Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nepal yazidi kutetemeshwa

Hofu imeendelea Nepal ikiwa ni siku kumi na saba tu,baada ya tetemeko kubwa kuipiga nchi hiyo na kuua zaidi ya watu elfu nane.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

IDADI YA WATU WALIOFARIKI DUNIA KWENYE TETEMEKO LA ARDHI NEPAL YAZIDI KUONGEZEKA

 Wanajeshi wa nchini Nepal wakiendelea kutafuta miili ya watu waliopoteza maisha katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal. Baadhi ya miili ya watu waliopoteza maisha katika 
katika tetemeko la ardhi  mjini Kathmand nchini Nepal.Kwa msaada wa mtandaoMAMLAKA ya nchini Nepal imesema kuwa zaidi ya watu 3300 wamesemekana kufairki dunia kutokana na Tetemeko kubwa la ardhi lililotokea jumamosi katika mji wa Kathmandu nchini  humo.Waokoaji wanchi hiyo wamesema wanaendelea kuchunguza...

 

10 years ago

BBCSwahili

Misaada yasambazwa Nepal

Misaada ya kibinadamu imeanza kuwasili katika wilaya ya Dhading, karibu na kitovu cha tetemeko la ardhi lililotokea nchini Nepal

 

10 years ago

BBCSwahili

Matumaini ya manusura yadidimia Nepal

Matumaini yanadidimia nchini Napal ya kuwapata manusura zaidi , baada ya kutokea kwa tetemeko baya la ardhi wiki moja iliyopita .

 

10 years ago

BBCSwahili

Nepal yakiri kulemewa na janga

Serikali ya Nepal inasema kuwa imelemewa na kiwango cha janga lililosababishwa na tetemeko la ardhi siku ya Jumamosi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ajali;Watalii 12 waangamia Nepal

Watalii kumi na wawili kutoka nchini Indian wameaga dunia kufuatia ajali ya basi karibu na mji wa Kathmandu nchini Nepal.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke achaguliwa kuongoza Nepal

Bunge nchini Nepal limemchagua mtetezi wa haki za wanawake Bidhya Devi Bhandari kuwa rais, na kumfanya kuwa mwanamke wa kwanza kabisa kuwa rais nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Tetemeko la Nepal kabla na baada

Picha zinazoonyesha athari ya tetemeko lililokumba mji wa Kathmandu,Nepal pamoja na viunga vyake

 

10 years ago

BBCSwahili

Nepal:Idadi ya waliofariki yafikia 96

Waziri wa maswala ya ndani nchini Nepal anasema kuwa idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi Nchini humo, imepanda na kufikia 96.

 

10 years ago

BBCSwahili

Manusura waendelea kutafutwa Nepal

Makundi ya uokoaji yamefanya kazi nchini Nepal, kutafuta manusura baada ya tetemeko baya la ardhi lililokumba nchi hiyo

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani