Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali;Watalii 12 waangamia Nepal

Watalii kumi na wawili kutoka nchini Indian wameaga dunia kufuatia ajali ya basi karibu na mji wa Kathmandu nchini Nepal.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nepal kufungua upya vivutio vya watalii

Serikali ya Nepal imetangaza kuwa itafungua upya vivutio vya watalii vilivyoharibiwa na tetemeko la ardhi

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA WAUJAJI 17 , YAJERUHI 27 NEPAL

Taswira kutoka eneo la ajali. MAUJAJI 17 wa dhehebu la Kihindu kutoka India wamepoteza maisha leo katika ajali ya basi walilokuwa wakisafiria katika Wilaya ya Dhading karibu na Mji wa Kathmandu nchini Nepal. Katika ajali hiyo, maujaji 27 wamejeruhiwa huku watano kati yao wakiripotiwa kuwa katika hali mbaya, Ubalozi wa India nchini Nepal umeeleza. Basi hilo lilikuwa likitoka Kathmandu kwenda Mji wa Gorakhpur. Maujaji hao walikuwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Zaidi ya wahamiaji 200 waangamia Libya

Zaidi ya wahamiaji 200 wanahofiwa kufariki baada ya mashua walimokuwa wakisafiria kuzama pwani ya Libya

 

10 years ago

BBCSwahili

Misaada yasambazwa Nepal

Misaada ya kibinadamu imeanza kuwasili katika wilaya ya Dhading, karibu na kitovu cha tetemeko la ardhi lililotokea nchini Nepal

 

10 years ago

BBCSwahili

Nepal yazidi kutetemeshwa

Hofu imeendelea Nepal ikiwa ni siku kumi na saba tu,baada ya tetemeko kubwa kuipiga nchi hiyo na kuua zaidi ya watu elfu nane.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nepal:Idadi ya waliofariki yafikia 96

Waziri wa maswala ya ndani nchini Nepal anasema kuwa idadi ya watu waliofariki katika tetemeko la ardhi Nchini humo, imepanda na kufikia 96.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke achaguliwa kuongoza Nepal

Bunge nchini Nepal limemchagua mtetezi wa haki za wanawake Bidhya Devi Bhandari kuwa rais, na kumfanya kuwa mwanamke wa kwanza kabisa kuwa rais nchini humo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nepal yakiri kulemewa na janga

Serikali ya Nepal inasema kuwa imelemewa na kiwango cha janga lililosababishwa na tetemeko la ardhi siku ya Jumamosi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Maporomoko yawaua watu 15 Nepal

Takriban watu 15 wamefariki huko Nepal baada ya maporomoko yaliosababishwa na mvua kubwa kuvizika vijiji sita huko kaskazini mashariki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani