Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nepal yakiri kulemewa na janga

Serikali ya Nepal inasema kuwa imelemewa na kiwango cha janga lililosababishwa na tetemeko la ardhi siku ya Jumamosi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Italia yavunja tena rekodi, watu 793 wafa siku moja kwa corona, Ulaya yazidi kulemewa na vifo na maambukizi

Kwa mara nyingine tena Italia imevunja rekodi ya watu wengi zaidi waliokufa siku moja kutokana na maambukizi ya kirusi hatari cha corona kiasi kwamba katika kipindi cha masaa 24, watu 793 wamefariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19 nchini humo.

Shirika la ha habari la Tasnim limelinukuu shirika la habari la AFP likitangaza habari hiyo na kuongeza kuwa, Wakala wa Kuwalinda Raia wa Italia ulisema jana kuwa, idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na kirusi cha corona nchini humo ilikuwa ni 793...

 

10 years ago

Vijimambo

MKE AKIRI MUMEWE BWANA BALENGA KUMUUZIA NYUMBA MFANYABIASHARA HANS MACHA KUTOKANA NA KULEMEWA NA MADENI YA MAMILIONI YA FEDHA ALIZOKOPA


DAR ES SALAAM, Tanzania
MKE wa mlalamikaji katika kesi ya kughushi dhidi ya Mfanyabiashara Hans Macha (pichani), amedai mahakamani kwamba mumewe anadaiwa fedha nyingi na mshtakiwa, alishindwa kulipa akaamua kumuuzia nyumba.

Mke huyo Nurya Ahmad (34),ambaye ni shahidi wa upande wa utetezi, amedai hayo leo Desemba Mosi, katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu,Dar es Salaam, mbele ya Hakimu Mkazi Devotha Kisoka, kwa kuongozwa na wakili wa utetezi, Deo Ringia.

Nurya amedai mahakamani hapo kwamba...

 

5 years ago

Ykileo

TASKRABBIT YAKIRI KUDUKULIWA



KWA UFUPI: TaskRabbit imekua muhanga wa uhalifu mtandao – IKEA, Imethibitisha. Hii ni katika muendelezo wa Programu tumishi (Applications) na huduma zingine za kimtandao kuingiliwa na wahalifu mtandao ambapo taarifa za watu zimejikuta katika mikono isiyo salama.---------------------------------

TaskRabbit iliyo anzishwa mwaka 2008 na Bi. Leah Busque iliyokua na madhumuni ya kutoa ajira zisizo rasmi kwa watu ambapo ilinunuliwa na IKEA mwaka 2017. Imekua ikitoa huduma zake kwa kujitegemea ndani...

 

11 years ago

BBCSwahili

Taliban yakiri shambulizi Pakistan

Kundi la Taliban lakiri kushambulia uwanja wa ndege Karachi

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani yakiri kuua raia

Marekani imekiri, kwa mara ya kwanza kuhusika na mapigano ya anga dhidi ya kikosi cha kiislamu yaliyopelekea baadhi ya raia kuuawa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakiri kupoteza mabilioni

SERIKALI imekiri kupoteza mabilioni ya fedha kila mwaka ambazo zinapaswa kulipwa kwa mujibu  wa  sheria na makampuni ya migodi nchini kama ushuru wa huduma kwa halmashauri  zinazozunguka migodi hiyo. Naibu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakiri uhaba wa mitamba

SERIKALI imesema kuna uhaba wa upatikanaji wa mitamba nchini. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Kaika Telele, alipojibu swali la Mbunge wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yakiri kutekeleza shambulizi Texas

Kundi la Islamic State limekiri kutekeleza shambulizi katika shindano la vibonzo vya kumkejeli mtume Mohammed katika jimbo la Texas

 

10 years ago

BBCSwahili

IS yakiri kushambulia misikiti Yemen

Kundi la Islamic State linasema kuwa wapiganaji wake waliendesha mashambulizi ya kujitoa mhanga kwenye misikiti nchini Yemen.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani