IS yakiri kutekeleza shambulizi Texas
Kundi la Islamic State limekiri kutekeleza shambulizi katika shindano la vibonzo vya kumkejeli mtume Mohammed katika jimbo la Texas
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo06 May
S yakiri kutekeleza shambulizi Texas-bbc
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/05/04/150504042225_cn_texas_garland_shooting_03_640x360_reuters_nocredit.jpg)
Wapiganaji wa kundi la Islamic State wamekiri kwamba ndio waliotekeleza shambulizi katika shindano la vibonzo vya kumkejeli mtume Mohammed katika jimbo la Texas nchini Marekani.
Kundi hilo limesema kuwa wapiganaji wawili wa kundi hilo walitekeleza shambulizi hilo katika mkutano uliokuwa karibu na mji wa Dallas.
Taarifa ya habari ya Redio ya kundi hilo Al-Bayan imesema kuwa maonyesho hayo yalikuwa yakionyesha picha mbaya kumhusu mtume Muhammad.
Washukiwa wote wawili walipigwa...
11 years ago
BBCSwahili09 Jun
10 years ago
BBCSwahili22 Nov
Al Shabaab lakiri kutekeleza shambulizi
Kundi la Al Shabaab nchini Somali limekiri kufanya mashambulizi ya abiria 28 katika basi moja kazkazini mashariki mwa kenya.
9 years ago
BBCSwahili20 Aug
IS lakiri kutekeleza shambulizi Misri
Bomu kubwa limelipuka karibu na makao makuu ya usalama kaskazini viungani mwa mji mkuu wa Misri, Cairo.
9 years ago
BBCSwahili14 Nov
Kundi la IS lakiri kutekeleza shambulizi Paris
Kundi la kigaidi la Islamic State limekiri kutekeleza shambulizi la Paris.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-vQ8tM-JYLc0/VTTkXbtlebI/AAAAAAAHSGI/7SHPDIdQAqU/s72-c/unnamed%2B(74).jpg)
Semina ya Texas Karate Black Belts yafanyika Houston, Texas
![](http://3.bp.blogspot.com/-vQ8tM-JYLc0/VTTkXbtlebI/AAAAAAAHSGI/7SHPDIdQAqU/s1600/unnamed%2B(74).jpg)
Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo.. Baada ya takriban...
10 years ago
VijimamboTexas Karate Black Belts Seminar Houston. Texas
Texas Black Belts club Seminar , imeandaliwa na Sensei Ramon Veras, Dan 7, Okinawa Goju Ryu Kyokai, mjini Houston, Texas tarehe 19 April, 2015. Pia ni sehemu moja ya maandalizi na marekebisho ya mbinu na ufundi wa vipande tofauti katika mfumo mzima wa Sanaa na tayari kwa baadhi ya washiriki kwa msafara wa kwenda kwenye chimbuko la Karate huko Okinawa, Japan. Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo..
Baada ya takriban...
5 years ago
Ykileo![](https://1.bp.blogspot.com/-0TCncn9RP0w/WtYeu3vuGyI/AAAAAAAACN0/g1YsoNsBwL8CEv_0pWsTs5fkADtEaMR0wCLcBGAs/s72-c/0023.png)
TASKRABBIT YAKIRI KUDUKULIWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-0TCncn9RP0w/WtYeu3vuGyI/AAAAAAAACN0/g1YsoNsBwL8CEv_0pWsTs5fkADtEaMR0wCLcBGAs/s640/0023.png)
KWA UFUPI: TaskRabbit imekua muhanga wa uhalifu mtandao – IKEA, Imethibitisha. Hii ni katika muendelezo wa Programu tumishi (Applications) na huduma zingine za kimtandao kuingiliwa na wahalifu mtandao ambapo taarifa za watu zimejikuta katika mikono isiyo salama.---------------------------------TaskRabbit iliyo anzishwa mwaka 2008 na Bi. Leah Busque iliyokua na madhumuni ya kutoa ajira zisizo rasmi kwa watu ambapo ilinunuliwa na IKEA mwaka 2017. Imekua ikitoa huduma zake kwa kujitegemea ndani...
10 years ago
BBCSwahili28 Apr
Nepal yakiri kulemewa na janga
Serikali ya Nepal inasema kuwa imelemewa na kiwango cha janga lililosababishwa na tetemeko la ardhi siku ya Jumamosi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania