Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


S yakiri kutekeleza shambulizi Texas-bbc

Shambulizi la Texas
Wapiganaji wa kundi la Islamic State wamekiri kwamba ndio waliotekeleza shambulizi katika shindano la vibonzo vya kumkejeli mtume Mohammed katika jimbo la Texas nchini Marekani.

Kundi hilo limesema kuwa wapiganaji wawili wa kundi hilo walitekeleza shambulizi hilo katika mkutano uliokuwa karibu na mji wa Dallas.

Taarifa ya habari ya Redio ya kundi hilo Al-Bayan imesema kuwa maonyesho hayo yalikuwa yakionyesha picha mbaya kumhusu mtume Muhammad.

Washukiwa wote wawili walipigwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

IS yakiri kutekeleza shambulizi Texas

Kundi la Islamic State limekiri kutekeleza shambulizi katika shindano la vibonzo vya kumkejeli mtume Mohammed katika jimbo la Texas

 

11 years ago

BBCSwahili

Taliban yakiri shambulizi Pakistan

Kundi la Taliban lakiri kushambulia uwanja wa ndege Karachi

 

9 years ago

BBCSwahili

IS lakiri kutekeleza shambulizi Misri

Bomu kubwa limelipuka karibu na makao makuu ya usalama kaskazini viungani mwa mji mkuu wa Misri, Cairo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Al Shabaab lakiri kutekeleza shambulizi

Kundi la Al Shabaab nchini Somali limekiri kufanya mashambulizi ya abiria 28 katika basi moja kazkazini mashariki mwa kenya.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kundi la IS lakiri kutekeleza shambulizi Paris

Kundi la kigaidi la Islamic State limekiri kutekeleza shambulizi la Paris.

 

10 years ago

Michuzi

Semina ya Texas Karate Black Belts yafanyika Houston, Texas

Texas Black Belts club Seminar , imeandaliwa na Sensei Ramon Veras, Dan 7, Okinawa Goju Ryu Kyokai, mjini Houston, Texas tarehe 19 April, 2015. Pia ni sehemu moja ya maandalizi na marekebisho ya mbinu na ufundi wa vipande tofauti katika mfumo mzima wa  Sanaa na tayari kwa baadhi ya washiriki kwa msafara wa kwenda kwenye chimbuko la Karate huko Okinawa, Japan.
 Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo.. Baada ya takriban...

 

10 years ago

Vijimambo

Texas Karate Black Belts Seminar Houston. Texas

 Texas Black Belts club Seminar , imeandaliwa na Sensei Ramon Veras, Dan 7, Okinawa Goju Ryu Kyokai, mjini Houston, Texas tarehe 19 April, 2015. Pia ni sehemu moja ya maandalizi na marekebisho ya mbinu na ufundi wa vipande tofauti katika mfumo mzima wa  Sanaa na tayari kwa baadhi ya washiriki kwa msafara wa kwenda kwenye chimbuko la Karate huko Okinawa, Japan. Sensei Rumadha Fundi, ni mmoja ya wawakilishi wa Goju Ryu Jundokan, atayoiwakilisha Tanzania kwenye msafara huo..
 Baada ya takriban...

 

5 years ago

Ykileo

TASKRABBIT YAKIRI KUDUKULIWA



KWA UFUPI: TaskRabbit imekua muhanga wa uhalifu mtandao – IKEA, Imethibitisha. Hii ni katika muendelezo wa Programu tumishi (Applications) na huduma zingine za kimtandao kuingiliwa na wahalifu mtandao ambapo taarifa za watu zimejikuta katika mikono isiyo salama.---------------------------------

TaskRabbit iliyo anzishwa mwaka 2008 na Bi. Leah Busque iliyokua na madhumuni ya kutoa ajira zisizo rasmi kwa watu ambapo ilinunuliwa na IKEA mwaka 2017. Imekua ikitoa huduma zake kwa kujitegemea ndani...

 

11 years ago

Michuzi

BBC yazindua studio zake nchini,kipindi cha asubuhi cha Amka na BBC kuruka moja kwa moja kutokea dar

Mkuu wa Habari wa BBC Idhaa ya Ulimwengu,Bi. Nikki Clarke akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kurushia Matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya BBC jijini Dar es Salaam,katika Jengo lao lililopo Mikocheni.Kushoto ni Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh.Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC, Ali Saleh (wa tatu kulia) akiwapatia maelekezo Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Dkt. Salim Ahmed Salim na Mwenyekiti wa CUF,Prof. Ibrahim Lipumba ya namna Idhaa hiyo inavyoandaa vipindi yake na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani