Nepal kufungua upya vivutio vya watalii
Serikali ya Nepal imetangaza kuwa itafungua upya vivutio vya watalii vilivyoharibiwa na tetemeko la ardhi
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-z9NbxCAkbCg/XlPYFzAeghI/AAAAAAABLlE/thveeizLH9Eh_ReDpQXUgc8sseclRV2KACNcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200224-WA0072.jpg)
ASKARI WA AMANI AZIDI KUTANGAZA VIVUTIO VYA TANZANIA, WATALII WAVUTIWA
KAZI inayofanywa na Askari Polisi wa Amani nchini Congo kutoka Arusha- Tanzania Ally Babu ya kukuza na kutangaza lugha ya Kiswahili na vivutio vya Utalii vilivyopo nchini Tanzania, imeweza kuleta matokeo chanya.
Hilo limekuja baada ya watalii kutokea nchini congo wanaofanya kazi Umoja wa Mataifa kuja nchini kwaajili ya utalii.
Essam Ghoneim raia mwenye asili ya Misri mfanyakazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Congo amekuwa mtalii wa kwanza kufika nchini Tanzania...
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Virusi vya corona: Hali ikoje baada ya Tanzania kufungua milango kwa watalii
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Ajali;Watalii 12 waangamia Nepal
10 years ago
BBCSwahili13 May
Shughuli za uokozi zakwama upya Nepal
11 years ago
Tanzania Daima04 Jun
‘Watanzania tembeleeni vivutio vya utalii’
WATANZANIA wamehimizwa kutembelea vivutio vya utalii nchini kwa ajili ya kujifunza, kutangaza utalii wa ndani na kuongeza pato la taifa. Ushauri huo ulitolewa juzi na Ofisa Utalii wa Hifadhi ya...
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Vivutio vya utalii Rungwe havitangazwi
WILAYA ya Rungwe mkoani Mbeya imeshindwa kupaa kiuchumi kwa kutovitangaza vivutio vya utalii vilivyopo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu Mkuu wa Christian and Gospel Ministry (CGM) wilayani humo, Watson...
11 years ago
Habarileo28 Apr
Mradi wa kutangaza vivutio vya utalii
KLABU ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro (MECKI) imeiomba serikali mkoani humo, kusaidia kufanikisha mradi wa utangazaji wa vivutio vya utalii mkoani humo, ambao utagharimu zaidi ya Sh milioni 145.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Hifadhi ya Kitulo na vivutio vya maua
SEPTEMBA 16, 2005 serikali ililitangaza rasmi eneo la Kitulo kuwa Hifadhi ya Taifa. Hifadhi hii ni muhimu katika kuchangia ukuaji wa maendeleo ya kiuchumi kwa taifa letu. Kitulo ambayo awali...
11 years ago
Uhuru Newspaper03 Jul
Tangazeni vivutio vya utalii- Nyalandu
NA MWANDISHI WETU
KAMPUNI za utalii nchini, zimetakiwa kutangaza vivutio vya utalii, ndani na nje ya nchi.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, alisema hayo jijini Arusha, wakati akifungua mkutano mkuu wa Wamiliki wa Kampuni ya Kusafirisha Watalii (TATO).
Alisema kazi ya kutangaza utalii inapaswa kupewa kipaumbele katika kampuni hizo.
Alizitaka kampuni hizo kuhakikisa zinaongeza kiasi kikubwa cha watalii wanaoingia nchini, ili kuiingizia serikali fedha nyingi za kigeni na kuachana...