Mchimbaji aliyenusurika mgodini Nyangalata afariki
Mmoja wa wachimbaji wadogo watano waliookolewa baada ya kufunikwa na kifusi mgodini kwa siku 41 wilayani Kahama, amefariki dunia kwa kile ambacho madaktari wameeleza kuwa ni athari za chakula walichokuwa wakila.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania23 Nov
Mchimbaji wa siku 41 mgodini afariki dunia
Na Paul Kayanda, Kahama
MMOJA wa wachimbaji wadogo machimbo ya Nyangarata, waliookolerwa baada ya kufukiwa na kifusi mgodini kwa siku 41, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama, Dk. Joseph Ngowi, alisema kuwa Kaiwao alifariki dunia jana saa 6.00 mchana baada ya kupata matatizo na kushindwa kupumua.
“Ni kweli amekufa na sababu ya kifo chake inaonekana wakati akitapika na huku akiwa amelala.
“Sehemu ya matapishi yake yaliingia kwenye njia ya...
9 years ago
Mwananchi12 Oct
Juhudi za kuwaokoa waliokufa mgodini Nyangalata zakwama
11 years ago
Mwananchi19 Dec
Mchimbaji afariki kwa kulipuliwa na baruti
9 years ago
Habarileo23 Nov
Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41 afariki
MMOJA wa majeruhi watano waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama kutokana na kufukiwa na kifusi cha mchanga na kukaa siku 41 chini ya mgodi na kuokolewa, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia.
9 years ago
BBCSwahili23 Nov
Aliyeokolewa baada ya siku 41 mgodini afariki
9 years ago
Mwananchi22 Nov
Simulizi ya wachimbaji walivyookolewa Nyangalata
9 years ago
Mwananchi21 Nov
Wazee wa kimila wawatisha waliofukuliwa Nyangalata
9 years ago
Mwananchi26 Nov
Waliookolewa Nyangalata wakataliwa kwenda Bugando
10 years ago
Habarileo04 Jan
Walinzi mahakamani kwa mauaji ya mchimbaji mdogo
WALINZI watatu wa Kampuni ya TanzaniteOne wamefikishwa kwenye Mahakama ya Mkoa wa Manyara, wakishtakiwa kwa kosa la mauaji ya mchimbaji mdogo wa madini ya tanzanite wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro.