Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyeokolewa baada ya siku 41 mgodini afariki

Mmoja wa wachimbaji migodi waliookolewa baada ya kufukiwa na vifusi kwa siku 41 mgodini ameaga dunia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41 afariki

MMOJA wa majeruhi watano waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama kutokana na kufukiwa na kifusi cha mchanga na kukaa siku 41 chini ya mgodi na kuokolewa, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia.

 

9 years ago

Mwananchi

Aliyeokolewa mgodini, amuulizia Lowassa

Mmoja wa watu waliokuwa wamefunikwa na kifusi chini ya ardhi kwa siku 41, juzi jioni alizinduka na muda mfupi baadaye akaulizia kama aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa ameshinda Uchaguzi Mkuu.

 

9 years ago

Mtanzania

Mchimbaji wa siku 41 mgodini afariki dunia

Na Paul Kayanda, Kahama

MMOJA wa wachimbaji wadogo  machimbo ya Nyangarata, waliookolerwa baada ya kufukiwa na kifusi mgodini kwa siku 41, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama, Dk. Joseph Ngowi,  alisema   kuwa Kaiwao alifariki dunia jana saa 6.00 mchana baada ya kupata matatizo na kushindwa kupumua.

“Ni kweli amekufa  na sababu ya kifo chake inaonekana wakati akitapika na huku akiwa amelala.

“Sehemu ya matapishi yake yaliingia kwenye njia ya...

 

9 years ago

GPL

WAKUTWA HAI BAADA YA KUFUKIWA NA VIFUSI MGODINI KWA SIKU 41

Ofisa Habari wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

SIKU KIPALULE: Mamalishe aliyeokolewa kuuza baa, uchangudoa

“KUNA watu wanafikiria kufanya kazi baa ni kupenda, hapana kama mimi niliifanya kazi hiyo na kuuza mwili kutokana na umaskini wa kipato niliokuwa nao na kukosa elimu itakayoweza kuniongoza katika...

 

9 years ago

Mwananchi

Mchimbaji aliyenusurika mgodini Nyangalata afariki

Mmoja wa wachimbaji wadogo watano waliookolewa baada ya kufunikwa na kifusi mgodini kwa siku 41 wilayani Kahama, amefariki dunia kwa kile ambacho madaktari wameeleza kuwa ni athari za chakula walichokuwa wakila.

 

9 years ago

BBCSwahili

Bondia afariki baada ya 'knock out'

Mwana masumbwi mmoja wa Australia amefariki siku nne baada ya kupoteza fahamu alipopigwa 'knock out' katika pigano la kijimbo mjini Sidney.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mchezaji afariki baada ya kupigwa

Mchezaji wa soka raia wa Cameroon amefariki baada ya kupigwa katika kichwa nchini Algeria.

 

11 years ago

Mwananchi

Afariki baada ya ‘ndege kudunguliwa’

Mamia ya wakazi wa Kisiwa cha Kome, wilayani Sengerema, mkoani Mwanza, wamefurika kwenye familia ya mkazi wa Kijiji cha Nyakasasa kushuhudia mwanamke amedondoka chini akiwa amefariki dunia akidaiwa kufanya mambo ya ushirikina.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani