Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchimbaji wa siku 41 mgodini afariki dunia

Na Paul Kayanda, Kahama

MMOJA wa wachimbaji wadogo  machimbo ya Nyangarata, waliookolerwa baada ya kufukiwa na kifusi mgodini kwa siku 41, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia.

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Kahama, Dk. Joseph Ngowi,  alisema   kuwa Kaiwao alifariki dunia jana saa 6.00 mchana baada ya kupata matatizo na kushindwa kupumua.

“Ni kweli amekufa  na sababu ya kifo chake inaonekana wakati akitapika na huku akiwa amelala.

“Sehemu ya matapishi yake yaliingia kwenye njia ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mchimbaji aliyenusurika mgodini Nyangalata afariki

Mmoja wa wachimbaji wadogo watano waliookolewa baada ya kufunikwa na kifusi mgodini kwa siku 41 wilayani Kahama, amefariki dunia kwa kile ambacho madaktari wameeleza kuwa ni athari za chakula walichokuwa wakila.

 

9 years ago

Habarileo

Aliyeokolewa mgodini baada ya siku 41 afariki

MMOJA wa majeruhi watano waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama kutokana na kufukiwa na kifusi cha mchanga na kukaa siku 41 chini ya mgodi na kuokolewa, Onyiwa Kaiwao (55) amefariki dunia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyeokolewa baada ya siku 41 mgodini afariki

Mmoja wa wachimbaji migodi waliookolewa baada ya kufukiwa na vifusi kwa siku 41 mgodini ameaga dunia.

 

11 years ago

Mwananchi

Mchimbaji afariki kwa kulipuliwa na baruti

 Mchimbaji mdogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani, Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, amefariki dunia baada ya kulipuliwa na baruti akiwa mgodini.

 

9 years ago

GPL

WAKUTWA HAI BAADA YA KUFUKIWA NA VIFUSI MGODINI KWA SIKU 41

Ofisa Habari wa Wizara ya Nishati na Madini, Badra Masoud.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mtume aliyetabiri mwisho wa dunia afariki dunia

>Mtume wa Kanisa la World Message Last Warning ambaye alitabiri kwamba mwaka 2000 utakuwa mwisho wa dunia, Wilson Bushara (53) amefariki dunia.

 

11 years ago

Mwananchi

Gurumo afariki dunia

>Mwanamuziki mkongwe pengine kuliko wote kwa sasa nchini na mwasisi wa Bendi ya Msondo Ngoma, Muhidin Maalim Gurumo amefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokuwa akipatiwa matibabu ya moyo.

 

11 years ago

Mwananchi

Mbunge afariki dunia

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepata pigo lingine kwa kuondokewa na Mbunge wa Chalinze (CCM), Said Bwanamdogo, ambaye amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

 

10 years ago

CloudsFM

MSANII YP AFARIKI DUNIA

Msanii aliyekuwa mkali wa Bongo Fleva, YP kutoka kundi la wanaume Family amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Meneja wa kundi hilo Said Fella amethibitisha kutokea kwa msiba wa msanii huyo, aliyefariki kwa maradhi ya kifua katika hospitali ya Temeke, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani