Hofu bandarini
MAJINA ya watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), waliohusika kutoa makontena 2,431 bila kulipa ushuru kati ya Machi hadi Septemba 2014 katika Bandari ya Dar es Salaam, yamepatikana na kufikishwa kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima19 Apr
Uingizaji shehena waongezeka bandarini
UINGIZAJI wa shehena katika bandari za mamlaka umeongezeka kutoka tani 1.185 wakati wa uhuru mwaka 1961 hadi kufikia tani 13,500 mwaka jana. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na...
11 years ago
BBCSwahili30 Jun
Urasimu bandarini Mombasa kushughulikiwa
11 years ago
Mwananchi13 Feb
Mwakyembe, bandarini hapako vizuri
10 years ago
Habarileo30 Mar
TPA kuimarisha huduma bandarini
UONGOZI wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), umeelezea nia yake ya kuzidi kuboresha Bandari ya Dar es Salaam na kuifanya kuwa lango kuu la kupitisha mizigo kwa nchi za ukanda wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini.
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Watumishi 12 mbaroni wizi wa kontena bandarini
Jonas Mushi na Ruth Mnkeni, Dar es salaam
JESHI la Polisi limewakamata watumishi 12 wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwachunguza kuhusu wizi na utoroshaji wa makontena 329 katika bandari ya Dar es Salaam.
Saba kati yao wanatoka TRA ambao walisimamishwa kazi na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.
Wengine wanatoka taasisi nyingine za serikali ambazo polisi hawakutaka kuzitaja hadi wakamilishe uchunguzi dhidi yao.
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Diwani Athumani alisema jana...
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Ufisadi mwingine waibuliwa bandarini Dar
11 years ago
Tanzania Daima18 Jun
Mbunge ahoji rushwa za TRA bandarini
MBUNGE wa Viti Maalumu Dk. Pudenciana Kikwembe (CCM), jana aliihoji serikali akitaka kujua namna ilivyopunguza rushwa kupitia Mamlaka ya Mapato (TRA) upande wa bandari tangu kuanzishwa kwa mfumo mpya wa...
9 years ago
Mtanzania03 Dec
Kassim: Sh 200,000 ziliniondoa bandarini
NA CHRISTOPHER MSEKENA
NYOTA wa Bongo Fleva, Kassim Mganga, amesema kabla hajaanza kufanya muziki alikuwa mfanyakazi wa kupokea na kutoa mizigo kwenye bandari ya Dar es Salaam, lakini kipaji chake cha muziki kilimwachisha kazi hiyo kutokana na ujira mkubwa aliokuwa akipata kupitia muziki wake.
Kassim alisema kwa mwezi alikuwa akilipwa Sh 200,000 kwa kazi ya bandarini lakini katika onyesho lake moja la muziki alipata Sh 500,000 ndipo akaamua kuacha kazi ya bandari na kuendelea na...
9 years ago
BBCSwahili18 Sep
Polisi wazuilia meli bandarini Mombasa