Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


maandalizi ya michezo na Burudani za leo Mjini Dodoma

 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akizungumza na warembo kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu watakao shindana  usiku wa leo Mei 7, 2014 kumpata Mrembo wa Vyuo Vikuu hapa Nchini.Shindano hili litafanyika katika Hoteli ya Royal Village Mjini Dodoma.Warembo kumi na sita watapanda jukwani kumtafuta mshindi.  Nahodha wa Timu ya Bunge, Mhe. Iddi Azzan (wa pili kulia)  akipokea Jezi zitakazo tumiwa na Timu ya Soka Bunge kutoka kwa Meneja Mkuu Uendeshaji wa Bank ya ACB, Bi. Juliana Swai,wengine pichani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UPDATES KUTOKA DODOMA: RAIS KIKWETE AFUNGA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA LEO, KUMTAMBULISHA MAGUFULI UWANJA WA JAMHURI JIONI HII

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama, wakati wa kuufunga Mkutano huo jioni hii kwenye Ukumbi wa Mikutano wa CCM (Dodoma Convition Centre), uliopo Mjini Dodoma. CCM wanafanya mkutano mkubwa wa kumtambulisha Mgombea wao jioni hii kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe...

 

9 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI , VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO ATEMBELEA MABANDA MAONYESHO YA WIKI YA VIJANA MJINI DODOMA.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (katikati) akiangalia baadhi ya picha mbalimbali wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12 Oktoba, 2015 katika Maonyesho ya Wiki ya Vijana na Kilelecha Mbio za Mwenge mjini Dodoma. PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga (kushoto) akiangalia moja ya vitabu wakati alipotembelea banda la Mwalimu Nyerere Foundation 12...

 

11 years ago

Michuzi

JK atua mjini DODOMA leo

 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais, Dr. Mohamed Bilal, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kuwasili kwenye uwanja  wa Ndege wa Dodoma. Picha na PMO

 

11 years ago

Michuzi

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Nchi Katika Idara ya Nishati na Mabadiliko ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe. Gregory Baker (Minister of State at the Department of Energy and Climate Change), Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma,Aprili 15, 2014. Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Waziri...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kutoka Bunge mjini Dodoma leo

PG4A6375

Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na  Waziri wa Nchi Katika Idara  ya Nishati  na Mabadiliko  ya Tabia Nchi wa Uingereza, Mhe.  Gregory Baker (Minister of State at the Department of Energy and Climate Change), Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma Aprili 14, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6382

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka katika kikao cha Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.

PG4A6428

 Wajumbe wa Bunge Maalum...

 

5 years ago

Global Publishers

Matukio Ya Bungeni Mjini Dodoma Leo

 Spika wa Bunge la Jamahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiingia katika ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha saba cha bunge la kumi na moja leo mjini Dodoma.  Spika wa Bunge la Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha saba cha bunge la kumi na moja ambapo pia alisema kiasi cha shilingi milioni themanini na tano na laki tano zimechangwa kutokana na makato ya posho ya siku moja yawabunge kwa ajili ya kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AWASILI MJINI DODOMA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Dodoma Dk.Reheme Nchimbi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhi Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na aliyekua Spika wa Bunge la Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika...

 

10 years ago

Vijimambo

YALIYIJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO

1Waziri wa Fedha, Saada Mkuya akihitimisha Hoja ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Fedha, Bungeni Mjini Dodoma Juni 23, 2015. 2Waziri Mkuu, Mizengo Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpanda Kati, Said Arfi, Bungeni mjini Dodoma.
4Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Asiye na Wizara Maalum, Profesa Mark Mwandosya na Mbunge wa kigoma Mjini Peter Serukamba kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. 5Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na wabunge wa Viti Maalum, Anna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani