Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MICHEZO YA SHIMIWI, 2014 KUFANYIKA MJINI DODOMA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2014 KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA

WAZIRI Mkuu Mhe.  Mizengo Pinda kesho atakuwa mgeni rasmi katika hafla ya kukabidhi Tuzo ya Mwanamke Bora wa Mwaka 2013-14, itakayowakutanisha wanawake wanne itakayofanyika kesho katika Ukumbi wa The African Dream mjini Dodoma. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ndiye  atakuwa mgeni rasmi katika utoaji tuzo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers, ambayo ndiyo iliyoratibu zoezi hilo, Eric Shigongo, amesema leo  kwamba shughuli hiyo itakuwa ni hitimisho la kazi kubwa ya kupokea na kuchuja kura...

 

11 years ago

Michuzi

mashindano ya michezo ya SHIMIWI yafunguliwa mjini Morogoro

Meza kuu ikipokea maandamano kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro.Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakiwa kwenye maandamano kabla ya ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.
BOFYA...

 

11 years ago

Michuzi

Timu ya Michezo ya Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo ya haswa kuwa mfano katika mashindano ya SHIMIWI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akimkabidhi zawadi Mwanamichezo aliyeiletea Wizara ushindi katika mashindano ya SHIMIWI na Meimosi mwaka jana Bibi. Niuka Chande. Mchezaji huyo aliibuka mshindi katika michezo ya Draft na kurusha Tufe na kuiletea Wizara vikombe viwili. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na Mwenyekiti wa Timu ya Wizara Dkt. Margareth Mtaki.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni...

 

11 years ago

GPL

TIMU YA MICHEZO YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO YA HASWA KUWA MFANO KATIKA MASHINDANO YA SHIMIWI

Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Titus Mkapa akimkaribisha Mwenyekiti wa timu ya Wizara HUM Sports Club (hayupo pichani) ili atoa salama za wachezaji kwa mgeni rasmi wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wachezaji wa timu hiyo leo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (HUM Sports Club) Dkt. Margareth Mtaki...

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya michezo na Burudani za leo Mjini Dodoma

 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda akizungumza na warembo kutoka Vyuo vya Elimu ya Juu watakao shindana  usiku wa leo Mei 7, 2014 kumpata Mrembo wa Vyuo Vikuu hapa Nchini.Shindano hili litafanyika katika Hoteli ya Royal Village Mjini Dodoma.Warembo kumi na sita watapanda jukwani kumtafuta mshindi.  Nahodha wa Timu ya Bunge, Mhe. Iddi Azzan (wa pili kulia)  akipokea Jezi zitakazo tumiwa na Timu ya Soka Bunge kutoka kwa Meneja Mkuu Uendeshaji wa Bank ya ACB, Bi. Juliana Swai,wengine pichani...

 

9 years ago

CCM Blog

KIKAO CHA KAMATI KUU KUFANYIKA KESHO MJINI DODOMA



Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM inatarajiwa kufanya kikao chake cha siku moja mjini Dodoma kesho Novemba 15, 2015 kujadili majina ya wana-CCM walioomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Uspika na Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Taarifa Rasmi - Uspika

 

10 years ago

Michuzi

MICHEZO YA BANDARI 2014 MJINI MTWARA YAFUNGLIWA RASMI

 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA ambaye pia ni Mkurugenzi wa Rasilimali Watu, Bw. Peter Gawile akizungumza na wanamichezo wa Bandari.
 Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Mhe. Ponsiano Nyami akiikagua timu ya Bandari ya Dar es Salaam kabla ya kuwavaa Bandari Mtwara. Timu ya kuvuta kamba kutoka Bandari ya Dar es Salaam wakimenyana na wenzao wa Bandari Mtwara. Timu ya kuvuta kamba kutoka Bandari Mtwara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani