Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


mashindano ya michezo ya SHIMIWI yafunguliwa mjini Morogoro

Meza kuu ikipokea maandamano kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro.Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakiwa kwenye maandamano kabla ya ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.
BOFYA...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya SHIMIWI yafikia hatua ya nusu fainali mjini Morogoro

01

Timu ya kuvuta kamba ya wanawake ya Ikulu wakiwavuta timu ya Wizara ya Kilimo, Ushirika na Chakula (hawapo pichani) wakati wa mashindano ya kuingia hatua ya nusu fainali mashindano ya SHIMIWI  leo mjini Morogoro ambapo Ikulu imefuzu kucheza hatua hiyo.

Na Eleuteri Mangi-MAELEZO

Michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) imefikia hatua ya nusu fainali kwa michezo ya kuvuta kamba, mpira wa miguu na mpira wa pete kwenye mashindano yanayoendelea mjini...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA MBALIMBALI ZA MASHINDANO YA SHIMIWI YANAYOENDELEA MJINI MOROGORO‏

Marefa wa timu za netiboliu wakijiandaa kufanya kazi yao. Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) ulikuwepo kwenye viwanja vya Jamhuri mjini Morogoro kwa ajili ya watumishi wa Umma kupima afya zao.…

 

10 years ago

Vijimambo

MICHEZO YA SHIMIWI YAFUNGULIWA RASMI

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akifungua mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bw.Noeli Kazimoto akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (hayupo pichani) wakati wa...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Michezo ya Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo ya haswa kuwa mfano katika mashindano ya SHIMIWI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akimkabidhi zawadi Mwanamichezo aliyeiletea Wizara ushindi katika mashindano ya SHIMIWI na Meimosi mwaka jana Bibi. Niuka Chande. Mchezaji huyo aliibuka mshindi katika michezo ya Draft na kurusha Tufe na kuiletea Wizara vikombe viwili. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na Mwenyekiti wa Timu ya Wizara Dkt. Margareth Mtaki.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni...

 

10 years ago

GPL

TIMU YA MICHEZO YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO YA HASWA KUWA MFANO KATIKA MASHINDANO YA SHIMIWI

Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Titus Mkapa akimkaribisha Mwenyekiti wa timu ya Wizara HUM Sports Club (hayupo pichani) ili atoa salama za wachezaji kwa mgeni rasmi wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wachezaji wa timu hiyo leo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (HUM Sports Club) Dkt. Margareth Mtaki...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MICHEZO YA SHIMIWI MOROGORO

Beki namba 5 wa timu ya soka ya Ardhi, Selemani Kungulilo (kushoto) akiwania mpira pamoja na beki  wa timu ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Seif Kibangu (kulia) katika mchezo wa SHIMIWI uliofanyikaSiku ya jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mambo ya Ndani ilishinda kwa bao 1-0. Timu ya soka ya Mambo ya Ndani ya Nchi baada ya mechi kati yake na Ardhi katika uwanja wa Jamhuri,Morogoro.… ...

 

10 years ago

Michuzi

patashika uwanjani michezo ya shimiwi morogoro

Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Maji (jezi ya kijani) wakipambana na mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya TAMISEMI (jezi ya orange) katika mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mkoani Morogoro.TAMISEMI iliibuka mshindi kwa bao 1-0.Picha na Happiness Shayo-Morogoro

 

10 years ago

Dewji Blog

PSPF yadhamini mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mkoani Morogoro uwanja wa Jamuhuri

10717864_773529996021618_1071916977_n

Baadhi ya watu wakiwa wanafuatilia mashindano hayo ya SHIMIWI yanayo endelea Mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri.   Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Netball wakiwa wanajiandaa na Mchezo wao.  Afisa wa PSPF akimsajili uanachama mmoja wa wanamichezo walikuwepo katika Mashindano hayo ya SHIMIWI.  Aliyevaa Tshirt ya Blue ni Afisa Masoko wa PSS Bwana Delphin Richard akitoa maelezo kwa wanachama wa PSPF wakati Michezo hiyo ikiendelea.   Michezo ikiwa inaendelea.  Baadhi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

PSPF YADHAMINI MASHINDANO YA SHIMIWI YANAYOENDELEA MKOANI MOROGORO KATIKA UWANJA WA JAMUHURI.

Baadhi ya watu wakiwa wanafuatilia mashindano hayo ya SHIMIWI yanayo endelea Mjini Morogoro katika uwanja wa Jamuhuri Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Netball wakiwa wanajiandaa na Mchezo wao Afisa wa PSPF akimsajili uanachama mmoja wa wanamichezo walikuwepo katika Mashindano hayo ya SHIMIWIAliyevaa Tshirt ya Blue ni Afisa Masoko wa PSS Bwana Delphin Richard akitoa maelezo kwa wanachama wa PSPF wakati Michezo hiyo ikiendelea Michezo ikiwa inaendelea Baadhi ya wachezaji wakiwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani