Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


patashika uwanjani michezo ya shimiwi morogoro

Mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Maji (jezi ya kijani) wakipambana na mchezaji wa timu ya mpira wa miguu ya TAMISEMI (jezi ya orange) katika mashindano ya SHIMIWI yanayoendelea mkoani Morogoro.TAMISEMI iliibuka mshindi kwa bao 1-0.Picha na Happiness Shayo-Morogoro

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MICHEZO YA SHIMIWI MOROGORO

Beki namba 5 wa timu ya soka ya Ardhi, Selemani Kungulilo (kushoto) akiwania mpira pamoja na beki  wa timu ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Seif Kibangu (kulia) katika mchezo wa SHIMIWI uliofanyikaSiku ya jana Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. Mambo ya Ndani ilishinda kwa bao 1-0. Timu ya soka ya Mambo ya Ndani ya Nchi baada ya mechi kati yake na Ardhi katika uwanja wa Jamhuri,Morogoro.… ...

 

10 years ago

Michuzi

mashindano ya michezo ya SHIMIWI yafunguliwa mjini Morogoro

Meza kuu ikipokea maandamano kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro.Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakiwa kwenye maandamano kabla ya ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Morogoro leo.
BOFYA...

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAAGWA LEO KUELEKEA MOROGORO KATIKA MICHEZO YA SHIMIWI

Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali Watu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. D. Mndeme (kushoto) akizungumza na wanamichezo wa Ofisi yake wakati akiwaaga na kukabidhiwa vifaa vya michezo leo asubuhi kwa ajili ya kuelekea Mjini Morogoro kushiriki katika michuano ya Shimiwi iliyofunguliwa leo. Katikati ni Afisa Utawala wa TTCL Tanzania, Ulrick Swai (kulia) ni Katibu wa timu ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Bw. Mandia.Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasiliamali Watu wa Ofisi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Timu ya Michezo ya Wizara ya Habari ,Vijana,Utamaduni na Michezo ya haswa kuwa mfano katika mashindano ya SHIMIWI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Sihaba Nkinga akimkabidhi zawadi Mwanamichezo aliyeiletea Wizara ushindi katika mashindano ya SHIMIWI na Meimosi mwaka jana Bibi. Niuka Chande. Mchezaji huyo aliibuka mshindi katika michezo ya Draft na kurusha Tufe na kuiletea Wizara vikombe viwili. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Elisante Ole Gabriel na Mwenyekiti wa Timu ya Wizara Dkt. Margareth Mtaki.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni...

 

10 years ago

GPL

TIMU YA MICHEZO YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO YA HASWA KUWA MFANO KATIKA MASHINDANO YA SHIMIWI

Kaimu Mkurugenzi wa Utawala na Rasirimali Watu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bw. Titus Mkapa akimkaribisha Mwenyekiti wa timu ya Wizara HUM Sports Club (hayupo pichani) ili atoa salama za wachezaji kwa mgeni rasmi wakati wa hafla fupi ya kuwaaga wachezaji wa timu hiyo leo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (HUM Sports Club) Dkt. Margareth Mtaki...

 

10 years ago

Vijimambo

MICHEZO YA SHIMIWI YAFUNGULIWA RASMI

Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (Mb) akifungua mashindano ya michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Morogoro Bw.Noeli Kazimoto akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kabla ya ufunguzi rasmi wa michezo ya SHIMIWI mjini Dodoma leo.Watumishi wa Serikali kutoka Wizara na Idara za Serikali wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina O. Kombani (hayupo pichani) wakati wa...

 

9 years ago

Habarileo

Michezo Shimiwi yasogezwa mbele

SHIRIKISHO la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) limesogeza mbele michezo hiyo na sasa itafanyika baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 25.

 

10 years ago

Michuzi

Ikulu yang’ara SHIMIWI Morogoro

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa kwenye maandamano siku ya ufunguzi wa mashindano ya SHIMIWI taifa yanayoendelea mjini Morogoro. Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Ikulu wakimsikiliza Mgeni Rasmi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya SHIMIWI taifa yanayoendelea mjini Morogoro. Yameanza vema mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa kuendeleza ushindi na kung’ara katika mashindano...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani