Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ikulu yang’ara SHIMIWI Morogoro

Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiwa kwenye maandamano siku ya ufunguzi wa mashindano ya SHIMIWI taifa yanayoendelea mjini Morogoro. Baadhi ya wachezaji wa Timu ya Ikulu wakimsikiliza Mgeni Rasmi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mashindano ya SHIMIWI taifa yanayoendelea mjini Morogoro. Yameanza vema mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa kuendeleza ushindi na kung’ara katika mashindano...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Timu za Ikulu zaingia hatua ya robo fainali SHIMIWI mjini Morogoro

Na Eleuteri Mangi- MAELEZOKatibu wa Klabu ya Ikulu Ramadhani Bendera ameipongeza klabu yake kwa kufanya vizuri katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi wa Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) yanayoendelea mjini morogoro. Bendera alitoa pongezi hizo kwa klabu yake kufuatia ushindi waliopata katika michezo mbalimbali iliyochezwa leo katika uwanja wa Jamhuri. Timu za Ikulu zilizofanikwa kuingia hatua ya robo fainali za mashindano hayo ni timu ya mchezo wa mpira wa pete,...

 

10 years ago

Michuzi

Mahakama wang'ara Shimiwi

Timu ya Mahakama ya Tanzania imeendeleza wimbi la ushindi katika michezo ya Shirikisho ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (Shimiwi) inayoendelea mkoani Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri.
Timu ya Mahakama ambayo inanolewa na kocha wa zamani wa klabu ya Simba na timu ya Taifa, Abdallah “King Mputa” Kibadeni jana iliibuka na ushindi wa mabao 5-2 dhidi ya Ras Tanga na kuingia hatua ya robo fainali.
Wakati timu ya soka ikiingia katika hatua hiyo muhimu, timu ya mchezo, kamba (wanawake na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yang’ara Chalinze

MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa ubunge wa Chalinze, uliofanyika jana. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yang’ara kuogelea

Muogeleaji  wa Tanzania, Ammaar Ghadiyali amefanikiwa kuingia hatua 16 bora ya  Michezo ya Jumuiya ya Madola baada ya kuongoza kwenye mbizi za mita 50 hapo jana.

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania yang’ara mpango wa UN

TANZANIA imetajwa kufanya vizuri zaidi kuliko nchi nane, zilizokuwa zikishiriki katika Mpango wa Majaribio wa Kuwezesha mfumo wa Umoja wa Mataifa(UN) kufanya kazi kwa pamoja. Mpango huo sasa umepanuliwa kushirikisha nchi nyingi zaidi baada ya kuonesha faida kubwa.

 

9 years ago

Mwananchi

Kenya yang’ara , yaaibika China

Licha ya kuongoza kwenye idadi ya medali kwenye mashindano ya ubingwa wa  dunia wa riadha yanayoendelea China, Kenya imepata aibu nyingine baada ya wanariadha wake wawili kufungiwa kwa madai ya matumizi ya dawa za kuongeza nguvu ya misuli.

 

9 years ago

Habarileo

PPF yang’ara kwa mafanikio

MAFANIKIO makubwa na ya kujivunia yamefikiwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF na kuwezesha mfuko huo kukuza thamani yake kutoka Sh bilioni 859.5, Septemba 2011 hadi kufikia Sh trilioni 2.1 Juni, mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh trilioni moja.

 

10 years ago

Habarileo

Dar yang’ara katika BRN

BAADA ya kuongoza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba mwaka jana, Mkoa wa Dar es Salaam umeendelea kufanya vizuri katika utekelezaji wa mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN), kwa shule zake kusimamia na kutoa mitihani ya utamilifu (mock) kwa manispaa zote tatu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yanga yang'ara Kombe la Mapinduzi

Timu ya Yanga ya Tanzania Bara imezidi kung'ara katika michuano ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani