PPF yang’ara kwa mafanikio
MAFANIKIO makubwa na ya kujivunia yamefikiwa na Mfuko wa Pensheni wa PPF na kuwezesha mfuko huo kukuza thamani yake kutoka Sh bilioni 859.5, Septemba 2011 hadi kufikia Sh trilioni 2.1 Juni, mwaka huu ikiwa ni ongezeko la Sh trilioni moja.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziPPF KANDA YA KINONDONI YANG'ARA KATIKA MAONESHO YA 2 YA KIBIASHARA YA TANGA
11 years ago
MichuziPPF KANDA YA KINONDONI YANG’ARA KATIKA MAONESHO YA 2 YA KIBIASHARA YA TANGA
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Azam yang’ara, Simba kwa KCC
10 years ago
Habarileo26 Jan
Repoa yang’ara kwa utafiti duniani
TAASISI inayoshughulika na mambo ya Utafiti wa Kupunguza Umasikini (Repoa) ni miongoni mwa taasisi nne za Tanzania ambazo zimeorodheshwa kwenye ripoti ya dunia kuwa ni taasisi zinazofanya vizuri katika masuala ya utafiti, ufuatiliaji na ushauri.
11 years ago
Habarileo16 Jan
Tanzania yang’ara mpango wa UN
TANZANIA imetajwa kufanya vizuri zaidi kuliko nchi nane, zilizokuwa zikishiriki katika Mpango wa Majaribio wa Kuwezesha mfumo wa Umoja wa Mataifa(UN) kufanya kazi kwa pamoja. Mpango huo sasa umepanuliwa kushirikisha nchi nyingi zaidi baada ya kuonesha faida kubwa.
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
CCM yang’ara Chalinze
MGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ridhiwani Kikwete, anaelekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi wa ubunge wa Chalinze, uliofanyika jana. Uchaguzi huo ulifanyika baada ya kifo cha aliyekuwa mbunge wa...
11 years ago
Mwananchi25 Jul
Tanzania yang’ara kuogelea
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Kenya yang’ara , yaaibika China
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Stars yang’ara, mbinu zaiangusha