Mabasi UDA kuwa na vibao vinavyoonesha njia
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limekubaliana na Mamlaka ya Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) kuweka vibao katika mabasi yake kuonesha njia yanakotoa huduma na si kupaka rangi. Mkuu wa UDA, Hamdy Al Hadj alisema kibao kitakachowekwa kitakuwa na rangi ya eneo husika kama ilivyo kwa daladala nyingine.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi21 Oct
Madereva mabasi ya Uda wagoma
11 years ago
Habarileo20 Jan
UDA yaingiza mabasi mapya 300
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limeingiza mabasi mapya 300 huku likielenga kufikisha idadi ya jumla ya mabasi 2000 ifikapo Juni mwaka huu ikiwa ni muendelezo wake wa kuboresha huduma za usafiri katika maeneo mbalimbali ya Jiji .
11 years ago
Habarileo17 Jun
'Mabasi UDA lazima yawe na mistari'
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesisitiza kwamba, mabasi ya Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) yanatakiwa kupaka rangi kulingana na njia na si kuweka vibao pekee.
11 years ago
GPL
MADEREVA WA MABASI YA UDA WAGOMA KUINGIA KAZINI!
11 years ago
Habarileo10 Feb
UDA yajiimarisha kwa kuzindua mabasi mapya 175
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limezindua mabasi mapya 175, katika mchakato wake wa uboreshaji wa shirika hilo lililofikisha miezi mitano tangu kufufuliwa upya.
11 years ago
MichuziMABASI YA UDA YANAENDESHWA BILA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
UDA kuuza tiketi kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu,
KAMPUNI ya Simon Group Limited inayomiliki Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) imetangaza kuanza mpango wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao ili kuondoa msongmano na adha kwa watumiaji.
Mbali ya hatua hiyo, imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze...
10 years ago
GPLDALADALA, UDA WATAKIWA KUWEKEZA KATIKA MABASI YAENDAYO KASI DAR
10 years ago
Habarileo07 May
Mgomo wa mabasi kuwa historia
MGOMO wa madereva wa mabasi yaendayo mikoani, daladala na malori huenda usitokee tena nchini na hivyo kubaki kuwa suala la kihistoria.