UDA yaingiza mabasi mapya 300
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limeingiza mabasi mapya 300 huku likielenga kufikisha idadi ya jumla ya mabasi 2000 ifikapo Juni mwaka huu ikiwa ni muendelezo wake wa kuboresha huduma za usafiri katika maeneo mbalimbali ya Jiji .
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog15 Sep
Kampuni ya Abood yaingiza mabasi mapya

Kampuni ya mabasi ya Abood yenye maskani Mkoani Morogoro imeingiza Mabasi Mapya na ya kisasa nchini kwa lengo la kutoa huduma za usafiri kaika mikoa mbalimbali ya nchini Tanzania.
Mabasi hiyo zaidi 50 Yameishaingia Nchini Tanzania kwa sasa Taratibu za Kutafuta Kibali na Kumalizia uhakiki wake tayari kuanza Kutoa Huduma. Basi hizo ambazo zimetengenezwana kampuni ya YUTONG ni tofauti kabisa na mabasi mengine yaaliyokwisha kuingia Nchini Tanzania ndiyo itakuwa kampuni ya kwanza barani...
11 years ago
Habarileo10 Feb
UDA yajiimarisha kwa kuzindua mabasi mapya 175
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limezindua mabasi mapya 175, katika mchakato wake wa uboreshaji wa shirika hilo lililofikisha miezi mitano tangu kufufuliwa upya.
11 years ago
Mwananchi21 Oct
Madereva mabasi ya Uda wagoma
11 years ago
Habarileo17 Jun
'Mabasi UDA lazima yawe na mistari'
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imesisitiza kwamba, mabasi ya Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) yanatakiwa kupaka rangi kulingana na njia na si kuweka vibao pekee.
11 years ago
Habarileo16 Jun
Mabasi UDA kuwa na vibao vinavyoonesha njia
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limekubaliana na Mamlaka ya Usafiri wa Nchikavu na Majini (Sumatra) kuweka vibao katika mabasi yake kuonesha njia yanakotoa huduma na si kupaka rangi. Mkuu wa UDA, Hamdy Al Hadj alisema kibao kitakachowekwa kitakuwa na rangi ya eneo husika kama ilivyo kwa daladala nyingine.
11 years ago
GPL
MADEREVA WA MABASI YA UDA WAGOMA KUINGIA KAZINI!
11 years ago
MichuziMABASI YA UDA YANAENDESHWA BILA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI
10 years ago
Habarileo14 Apr
JWTZ iliandaa mabasi 300 kuukabili mgomo wa madereva
KUTOKANA na mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria nchi nzima uliofanyika Ijumaa iliyopita, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilikuwa limeshaandaa mabasi 300 ambayo yangetumika kusafirisha abiria, imebainika.
9 years ago
MillardAyo25 Dec
Mgomo wa UDA ? Familia ya JK na ishu ya bandarini? mapya Ocean Road? Hizi hapa zote..
December 25 2015 ninazo stori kubwa kwenye mkusanyiko wake kama ambavyo zimegusa kwenye uchambuzi wa redioni #CloudsFM… hapa nimeanza kwa kuzigusa moja baada ya nyingine mtu wangu. Serikali yaahidi kumulika ajira za wageni, waajiri wagizwa kutoa kipaumbele cha ajira kwa wenyeji.. kuna stori pia kuhusu utata ulioibuka shirika la UDA, madereva na makondakta kutishia kugoma. […]
The post Mgomo wa UDA ? Familia ya JK na ishu ya bandarini? mapya Ocean Road? Hizi hapa zote.. appeared first on...