Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JWTZ iliandaa mabasi 300 kuukabili mgomo wa madereva

Askari wa usalama barabarani wakijadili jambo baada ya madereva kugoma.KUTOKANA na mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria nchi nzima uliofanyika Ijumaa iliyopita, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) lilikuwa limeshaandaa mabasi 300 ambayo yangetumika kusafirisha abiria, imebainika.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TASWIRA YA MGOMO WA MADEREVA STAND YA MABASI UBUNGO, DAR

Muonekano wa mabasi ya mikoani yakiwa yamesimama stendi ya Ubungo, Dar. Wananchi wakiwa nje ya stendi ya mabasi ubungo jijini Dar. (PICHA NA GLOBAL WHATSAPP + 255 753 715…

 

10 years ago

GPL

YALIYOJIRI LEO KATIKA MGOMO WA MADEREVA WA MABASI YA ABIRIA DAR

Baadhi ya madereva na makondakta wakiwa wamejikusanya kuoengelea hatma ya mgomo wao. Abiria waliokata tiketi za kwenda mikoani tangu jana wakiwa hawajui la kufanya. Polisi wakilinda usalama kwenye mkusanyiko huo.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Exclusive Usiku huu Mgomo wa Madereva: Abiria walala ndani ya mabasi Ubungo, Mo blog ipo ‘live’

 

live

Mwandishi Mwandamizi wa Modewji blog (mtandao huu), Andrew Chale  akiwa ndani ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani na nchi jirani cha Ubungo, Jijini Dar es Salaam akiendelea ‘kusaka’ habari hasa kujionea mazingira ya abiria waliokuwa na watotom wagonjwa na wasiojiweza wanavyopata taabu usiku huu baada ya mgomo huo huku abiria wakilala kwenye magari waliokatia tiketi

Na Andrew Chale, Modewji blog

Hadi muda huu wa saa  tano  na nusu  usiku (11:34 pm) leo Mei 4, Mtandao wako bora nchini wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News!!!  Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva

11088108_826634080706798_1441278712_n

Katibu wa  Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima

…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko  rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...

 

10 years ago

Vijimambo

CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.

Chama cha wafanyakazi madereva Tanzania-TADWU- kimetangaza mgomo wa madereva nchi nzima kuanzia Agosti tisa mwaka huu baada ya wamiliki wa mabasi, wakala wa usafiri wa nchi kavu na majini pamoja na wizara ya kazi kushindwa kutekeleza makubaliano yalifikiwa na tume iliyoundwa na waziri mkuu kutatua mgogoro wa madereva nchni.Kauli hiyo imetolewa na naibu katibu mkuu wa TADWU, Bwana Rashidi Salehe wakati akizungumza na ITV ambapo amesema mgomo huo unarejea tena baada ya wamiliki wa mabasi kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Tishio mgomo wa mabasi. Sumatra, wamiliki mabasi jino kwa jino.

Mkurugenzi Mkuu wa Sumatra, Gilliard Ngewe.Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (Taboa) kimesisitiza msimamo wake wa kusitisha kutoa huduma ya usafiri leo, huku Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini Nchini (Sumatra) ikionya kuwa itamfutia leseni ya usafirishaji yeyote atakayegoma.

Katibu Mkuu wa Taboa, Enea Mrutu, alisisitiza msimamo wao wa kugoma walioutoa juzi alipozungumza na NIPASHE jana.
Alisema mgomo walioutangaza uko palepale ingawa kuna mazungumzo kati yao na Sumatra...

 

10 years ago

Mwananchi

Mgomo wa mabasi kizungumkuti

Dar es Salaam. Hali ya sintofahamu imetawala mpango wa wamiliki wa mabasi yaendayo mikoani kufanya mgomo wa wiki moja kuanzia leo, kutokana na baadhi kutokatisha tiketi za safari za leo na wengine kukatisha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani