Mabilioni yahitajika kunusuru homa ya bonde la ufa
Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi imeomba Sh30.2 bilioni Hazina kwa ajili ya chanjo ya ugonjwa wa bonde la ufa ambao ni hatari kwa binadamu na wanyama.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog11 Oct
Serikali ya jipanga Kudhibiti Homa ya Bonde la Ufa
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi Dkt.Yohana Budeba.
Na Anitha Jonas –MAELEZO
Serikali yaanda mkakati wa kuzuia Homa ya Bonde la Ufa (Rift Valley Fever) nchini kutokana na kuwepo na viashiria vya kuwepo na ungojwa huo katika kipindi hichi cha mvua za Eli-nino kama ilivyoripotiwa na Mlaka ya hali ya hewa.
Ugongwa wa Homa ya Bonde la Ufa ni hatari sana na kwani katika kipindi cha 2006/2007 ulipotokea ulisambaa kwa kasi na kuathiri vijiji 175 kati ya wilaya 11 katika ya...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jul
Wizara yajipanga kupambana na ugonjwa wa bonde la ufa
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, imesema imeweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha wanapambana kikamilifu na ugonjwa wa bonde la ufa. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es...
10 years ago
Michuzi
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TANO LA KIMATAIFA KUJADILI MATUMIZI YA NISHATI ITOKANAYO NA JOTO ARDHI KATIKA NCHI ZA AFRIKA ZINAZOPITIWA NA BONDE LA UFA



10 years ago
Vijimambo07 Mar
WIKI ENDI HII NI YANGA NA SIMBA HOMA KUSHUKA HOMA KUPANDA WACHEZAJI WENYEWE ROHO KWATU.

11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Misaada zaidi yahitajika Syria
10 years ago
Tanzania Daima09 Oct
Elimu yahitajika baada ya Bunge Maalum la Katiba
BUNGE Maalum la Katiba limepitisha Rasimu ya Katiba inayopendekezwa kwa wingi wa kura za ndiyo za Wajumbe wa Bunge hilo, Rais Jakaya Kikwete atakabidhiwa rasimu hiyo ambayo ni Katiba Inayopendekezwa....
11 years ago
Tanzania Daima13 Jan
Elimu bado yahitajika mfumo mpya wa tiketi
KIVUMBI cha raundi ya pili ya Ligi Kuu Tanzania bara kitaanza kutimka Januari 25 kwa miamba 14 kuendelea na kampeni ya kutwaa ubingwa wa ligi hiyo iliyoanza Agosti 24, mwaka...
10 years ago
Michuzi
MICHANGO BADO YAHITAJIKA UJENZI WA MSIKITI KIJIJI CHA KIMBANGULILE MKURANGA PWANI




TUNAMSHUKURU Mwenyezi Mungu kwa Pumzi anayo endelea kutupa.
Ufuatao ni Mrejesho wa Michango yenu ya Ujenzi wa Msikiti wa Masjid Fisabillah ya Mlamleni , Mkoa wa Pwani , Wilaya ya Mkuranga , Kijiji cha Kimbangulile.
Ikumbukwe kupitia Blogs na...
10 years ago
Tanzania Daima10 Nov
Nchi inapita bonde la mauti
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeifananisha hali inayolikumba taifa kwa sasa ambako kila kukicha kumekuwa kukiibuliwa kashfa za ufisadi, ni sawa na kupita kwenye bonde la mauti. Kutokana na...