Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabinti kuongoza chipukizi wa CCM Taifa

WATOTO wa kike, Nimka Lameck (12) na mwenzake Pili Hassan Suluhu (10), wamechaguliwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chipukizi Taifa kushika nyadhifa ya Mwenyekiti wa Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti kwa kipindi cha miaka mitano ijayo hadi 2018.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI DODOMA TAYARI KUONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana  kwenye uwanja wa Ndege wa  muda mfupi kabla ya kuelekea Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu. Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikweteakisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam Kimbisa mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma tayari kwa kuongoza kikao cha  Kamati Kuu ya...

 

9 years ago

Habarileo

Kamanda chipukizi CCM ajiuzulu

KAMANDA wa Chipukizi wa CCM, Mkoa wa Rukwa, Anyosisye Kiluswa ametangaza kujiuzulu rasmi nyadhifa zake ndani ya chama hicho.

 

9 years ago

Habarileo

Rais Magufuli kuongoza mkesha kuombea taifa

RAIS John Magufuli kesho anatarajiwa kuongoza maelfu ya Watanzania katika Mkesha Mkubwa Kitaifa wa Kuombea Amani ya Nchi. Mkesha huo utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na mikoa mingine zaidi ya 10 ikiwa ni pamoja na Zanzibar, utawashirikisha watu wote bila kujali itikadi za kisiasa, dini wala kabila lengo likiwa ni kumshukuru Mungu kwa kuivusha nchi katika Uchaguzi Mkuu kwa amani na utulivu.

 

11 years ago

Michuzi

MWENYEKITI WA CCM,RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI JIJINI MBEYA JIONI YA LEO TAYARI KWA KUONGOZA MAADHIMISHO YA MIAKA 37 YA CCM KESHO.

 Mwenyekiti wa chama cha CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwapungia Viongozi mbalimbali wa chama,Serikali,na viongozi wa dini na watu mbalimbali (hawapo pichani) waliofika kumpokea mara baada kuwasili jioni ya leo kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe  tayari kwa kuongoza maadhimisho ya sherehe za miaka 37 ya chama hicho yatakayofanyika kwenye uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine mjini humo.   Pichani Kati ni Mwenyekiti wa CCM,Rais Jakaya Kikwete akiwa ameambatana na Katibu Mkuu wa chama...

 

10 years ago

Vijimambo

SABABU 4 ZA KIJANA HUYU KUWEZA KUONGOZA TAIFA LA TANZANIA MIAKA 5 IJAYO

SABABU NNE WANAZOSIMAMIA WANANCHI KUWA RAIS WA AWAMU YA TANO(2015-2025) NI MWIGULU NCHEMBA. Na,Julius Mathias.
Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amebainisha sababu nne zinazowafanya wananchi wampendekeze kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba. Nchemba aliyasema hayo jana kwenye mahojiano
wakati wa kipindi cha dakika 45 kinachorushwa na ITV kuhusu tafiti zinazofanywa juu ya kukubalika kwa baadhi ya watia nia ya urais miongoni mwa wananchi wanaomtaja.
...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

10 years ago

Michuzi

chipukizi wa UVCCM wa Songea watia fora katika maadhimisho ya miaka 38 ya CCM uwanja wa Majimaji

 Gwaride kazini Ukakamavu na nidhamu Heshima kulia Hakuna mchezo hapa Kiapo cha utii baada ya hatua 15 mbele.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani