Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABONDIA WA TANZANIA ,SAIDI YAZIDU NA ALIBABA RAMADHAN KUKIPIGA JIONI YA LEO NA MU-ALJERIA NA M-MALAWI KATIKA UKUMBI WA YMCA -MOSHI

Bondia toka Aljeria,Djamel Dahou akionesha mikanda anayoshikilia,muda mchache kabla ya kupima uzito .Bondia Said Yazidu wa Tanzania (aliyenyanyua mikono) na kulia kwake ni bondia Alibaba Ramadhan wakiajiandaa na zoezi la upimaji uzito.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MABONDIA ALIBABA NA ROY MBUNDA WAFANYIWA VIPIMO SASA KUPAMBANA JIONI YA LEO YMCA MOSHI

Bondia Roy Mbunda wa Ruvuma akifanyiwa vipimo na Dk Issa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya pambano litakalo fanyika jioni ya leo katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. Bondia Alibaba Ramadhani wa Kilimanjaro akifanyiwa vipimo na Dk Issa ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya pambano litakalo fanyika jioni ya leo katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. Mwenyekiti wa chama cha ngumi mkoa wa Kilimanjaro Eliakunda Kipoko akizungumza na mabondia (hawapo pichani)mara baada ya kufanyiwa vipimo.

 

10 years ago

Michuzi

DALADALA YAPARAMIA KIPITA SHOTO CHA YMCA,MJINI MOSHI LEO

Gari aina ya Toyota Hiace linalofanya safari yake kati ya KCMC na katikati ya mji wa Moshi likiwa katika bustani ya mzunguko wa YMCA baada ya kupitiliza toka barabarani. Sehemu ya uharibifu uliofanyika baada ya gari hilo kufeli breki na kunyoosha moja kwa moja na kugonga kingo za keep left ya YMCA.Askari wa Kikosi cha usalama barabarani wakijaribu kuangalia maeneo yaliyoaharibika baada ya gari hilo kupita katika kipita shoto hicho.Fundi mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja...

 

11 years ago

Michuzi

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO UKUMBI WA PTA SABASABA, DAR ES SALAAM

Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam. Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akitunishiana misuli kwa mkono na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa Jumamosi ya leo April 19 katika ukumbi wa PTA Sabasaba Dar es salaam  Bondia Sukkasem Kietyongyuth ...

 

11 years ago

Michuzi

BONDIA ALIBABA RAMADHAN WA KILIMANJARO ALIVYOMTWANGA ROY MBUNDA WA RUVUMA


Bondia Alibaba Ramadhan akiwa na mkanada wake wa Ubingwa baada ya kumtwanga Bondia Roy Mbuta kwa KO katika mchezo uliopiga jana.Pichani ni Bondia Alibaba akipata picha ya kumbukumbu na mgeni rasmi pamoja na wadhamini. Akapongezwa Alibaba kwa ushindi na sifa aliyoupatia mkoa wa Kilimanjaro.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Michuzi

kibaka achezea kochapo cha nguvu mjini Moshi jioni ya leo

kijana mmoja mkazi wa Pasua mjini Moshi ambaye jina lake halikufahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa wanachi wenye hasira kali,baada ya kuiba simu katika duka moja la mchele na kumpa mwenzake aliyefanikiwa kukimbia nayo. 
Tukio hilo limetokea jioni hii katika duka la mchele la Lucki rice mart lilipo double road katikati ya mji wa Mokijana mmoja mkazi wa Pasua ambaye jina lake halijafahamika mara moja amenusurika kufa baada ya kupokea kipigo kutoka...

 

11 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani