Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAIFA STARS, MALAWI KUKIPIGA JUMANNE MEI 27

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Taifa Stars kukipiga na Swaziland:COCAFA

Taifa Stars ya Tanzania imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi Swaziland.

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS, BENIN KUKIPIGA JIJINI DAR OKTOBA 12

 Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inashuka uwanjani Oktoba 12 mwaka huu kuikabili Benin katika mechi ya kirafiki ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Mechi hiyo itachezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 kamili jioni. Programu ya Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa ajili ya mechi hiyo itatangazwa baadaye na Kocha Mkuu Mart Nooij.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linaendelea na taratibu nyingine kwa ajili ya mechi...

 

9 years ago

Mtanzania

Wasomalia kuziamua Taifa Stars, Malawi

1264922_heroaNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

WAAMUZI kutoka nchini Somalia wamepangwa kuchezesha mechi ya hatua ya awali ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi kati ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na Malawi ‘The Flames’ utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam keshokutwa.

Mtandao wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kuhusu mchezo huo namba 13 kanda ya Afrika, umeonyesha kuwa mwamuzi wa kati atakayepuliza kipenga atakuwa ni Haji Wiish.

Mwamuzi msaidizi namba moja anatarajia kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

KIINGILIO TAIFA STARS, MALAWI NI BUKU 5 TU.

Kiingilio cha chini cha mechi ya kirafiki kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Malawi (Flames) itakayofanyika Jumanne (Mei 27 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ni sh. 5,000.
Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni kwa wale watakaokaa kwenye viti vya rangi ya chungwa, bluu na kijani. Kwa upande wa VIP B na C kiingilio kitakuwa sh. 10,000 wakati kwa VIP A itakuwa ni sh. 20,000.
Mechi hiyo itaanza saa 11 kamili jioni ili kutoa fursa kwa washabiki wengi zaidi kuishuhudia kwa vile...

 

11 years ago

GPL

TAIFA STARS, MALAWI UWANJANI DAR

Taifa Stars na Malawi (Flames) zinapambana kesho (Mei 27 mwaka huu) katika mechi ya kirafiki ya kimataifa itakayochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 11 kamili jioni. Malawi tayari ipo jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mechi hiyo wakati Taifa Stars iliyopiga kambi yake Tukuyu mkoani Mbeya inawasili jijini Dar es Salaam kesho (Mei 27 mwaka huu) saa 4 asubuhi kwa ndege ya Air Tanzania. Kiingilio katika mechi hiyo...

 

9 years ago

StarTV

Taifa Stars yang’ara yailaza Malawi 2-0.

Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeanza vema mechi ya awali ya kuwania kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia 2018 nchini Urussi  baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0    dhidi ya timu ya tifa ya Malawi The Flames na kuwapa furaha watanzania kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

 Katika mchezo huo uliokuwa mgumu kwa pande zote Malawi walianza kwa kuibana Stars  kunako dakika 15 za mwanzo kwa mashambulizi mengi , kabla  ya wenyeji kuzinduka na kuanza kutawala mchezo huo na...

 

11 years ago

Mwananchi

Malawi yaing’ang’ania Taifa Stars

Licha ya kuwa na kikosi kinachoaminika kuwa ni kizuri, Taifa Stars imetoka sare 0-0 katika mchezo wake wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi uliochezwa jana kwenye Uwanja wa Sokoine.

 

11 years ago

Michuzi

TAIFA STARS NA ZIMBABWE KUUMANA DAR ES SALAAM JUMAPILI MEI 18

Mechi ya kwanza ya raundi ya mchujo kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika 2015 nchini Morocco kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Zimbabwe (Mighty Warriors) itafanyika Jumapili (Mei 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Awali mechi hiyo tulipanga ichezwe Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya kwa nia ya kuhakikisha mikoa yote ya Tanzania inapata fursa ya kuwa mwenyeji wa mechi za kimataifa.
Ili Uwanja wa Sokoine uweze kuchezwa mechi za kimataifa za mashindano, Shirikisho la Mpira wa...

 

10 years ago

Michuzi

TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA MALAWI, JIJINI MWANZA LEO

Viongozi mbali mbali pamoja na Timu zote mbili wakiwa wamesimama kwa dakika chache kumkmbuka Kiongozi wa mpira wa Miguu, Aliyetangulia mbele ya haki, Kocha wa zamani wa Timu ya Taifa Star, Marehemu Sylvester Marsh aliyefariki dunia hivi karibuni katika Hospitali ya Muhimbili na kuzikwa Mjini Mwanza.Wachezaji wa Malawi wakipongezana baada ya kupata bao la mapema dakika ya tatu kupitia kwa Esau Kanyenda kwa kufanya 1-0.Mshambuliaji wa Timu ya Taifa "Taifa Stars", Thomas Ulimwengu akitafuna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani