TAIFA STARS, BENIN KUKIPIGA JIJINI DAR OKTOBA 12
![](http://3.bp.blogspot.com/-0ZXUzd3AHik/VCQS5iDHgGI/AAAAAAAGltU/8GqtyhHNMtw/s72-c/TAIFA1.jpg)
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inashuka uwanjani Oktoba 12 mwaka huu kuikabili Benin katika mechi ya kirafiki ya kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA).
Mechi hiyo itachezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 kamili jioni. Programu ya Taifa Stars inayodhaminiwa na Kilimanjaro Premium Lager kwa ajili ya mechi hiyo itatangazwa baadaye na Kocha Mkuu Mart Nooij.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linaendelea na taratibu nyingine kwa ajili ya mechi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YFSAOLE0D-A/VDqqTUqZhqI/AAAAAAAGpl0/SWlOON-qJBI/s72-c/MMGM1084.jpg)
Taifa Stars yatakata Uwanja wa Taifa leo,Yaitungua Bao 4-1 Benin
![](http://4.bp.blogspot.com/-YFSAOLE0D-A/VDqqTUqZhqI/AAAAAAAGpl0/SWlOON-qJBI/s1600/MMGM1084.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-NlUWrOLm_MY/VDqqSciQUQI/AAAAAAAGplo/WDumNWIiiQQ/s1600/MMGM1095.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-rw1cH6fb7bA/VDqqSY43IwI/AAAAAAAGpls/oJNT5cTcrZ0/s1600/MMGM1119.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JgZ7IQqwkHA/VDqqUA2wFKI/AAAAAAAGpl8/O9cNCzaZok4/s1600/MMGM1140.jpg)
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 uwanja wa Taifa jijini Dar
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotion ambayo inaandaa matamasha mbalimbali kama lile la Pasaka na Chrismas, ambaye ni Mwenyekiti wa Tamasha hilo, Alex Msama, akisisitiza jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu kukamilika kwa maandalizi ya Tamasha la kuliombea Taifa Amani kuelekea uchaguzi mkuu ambalo litafanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na baadaye mikoa mingine 12.
9 years ago
Dewji Blog30 Aug
Uzinduzi wa Tamasha la kuombea Amani Taifa kuelekea Uchaguzi Mkuu kufanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa Jijini Dar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, waandaaji wa matamasha mbalimbali kama lile la Krismas na Pasaka, Alex Msama (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es Salaam jana asubuhi kuhusu uzinduzi wa Tamasha la kuliombea Taifa kuelekea ucahguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu utakaofanyika Oktoba 4, 2015 Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mjumbe wa Kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Benno Chilele (kushoto), akizungumza katika tamasha...
9 years ago
VijimamboUZINDUZI WA TAMASHA LA KUOMBEA AMANI TAIFA KUELEKEA UCHAGUZI MKUU KUFANYIKA OKTOBA 4, 2015 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
BBCSwahili15 May
Taifa Stars kukipiga na Swaziland:COCAFA
9 years ago
VijimamboMAANDALIZI YA TAMASHA LA KULIOMBEA TAIFA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU YA KAMILIKA LITAFANYIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM, OKTOBA 4, 2015
11 years ago
Michuzi24 May
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Taifa Stars yaivaa Benin
10 years ago
StarTV13 Oct
Taifa Stars yaifumua Benin 4-1.
TAIFA Stars jana iliikung’uta Benin kwa mabao 4-1 katika mechi ya kimataifa ya kirafiki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, ambayo ilitanguliwa na mechi ya amani kati ya viongozi wa dini wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Mabao ya nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro,’ Amri Kiemba, Thomas Ulimwengu na Juma Luizio yalitosha kuizamisha Benin ‘Squirrels’ ambayo ilikuwa ikiongozwa na nahodha wake, mshambuliaji wa Wes Brom Albion ya England, Stephane Sessegnon. Bao lao lilifungwa na Suanon Fadel.
Stars...