Taifa Stars yang’ara yailaza Malawi 2-0.
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeanza vema mechi ya awali ya kuwania kufuzu kucheza fainali za kombe la dunia 2018 nchini Urussi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya tifa ya Malawi The Flames na kuwapa furaha watanzania kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar Es Salaam.
Katika mchezo huo uliokuwa mgumu kwa pande zote Malawi walianza kwa kuibana Stars kunako dakika 15 za mwanzo kwa mashambulizi mengi , kabla ya wenyeji kuzinduka na kuanza kutawala mchezo huo na...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi06 Sep
Stars yang’ara, mbinu zaiangusha
9 years ago
Mtanzania05 Oct
Wasomalia kuziamua Taifa Stars, Malawi
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
WAAMUZI kutoka nchini Somalia wamepangwa kuchezesha mechi ya hatua ya awali ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi kati ya timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ na Malawi ‘The Flames’ utakaofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam keshokutwa.
Mtandao wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kuhusu mchezo huo namba 13 kanda ya Afrika, umeonyesha kuwa mwamuzi wa kati atakayepuliza kipenga atakuwa ni Haji Wiish.
Mwamuzi msaidizi namba moja anatarajia kuwa...
11 years ago
MichuziKIINGILIO TAIFA STARS, MALAWI NI BUKU 5 TU.
Washabiki watakaolipa kiingilio hicho ni kwa wale watakaokaa kwenye viti vya rangi ya chungwa, bluu na kijani. Kwa upande wa VIP B na C kiingilio kitakuwa sh. 10,000 wakati kwa VIP A itakuwa ni sh. 20,000.
Mechi hiyo itaanza saa 11 kamili jioni ili kutoa fursa kwa washabiki wengi zaidi kuishuhudia kwa vile...
11 years ago
GPLTAIFA STARS, MALAWI UWANJANI DAR
11 years ago
Mwananchi05 May
Malawi yaing’ang’ania Taifa Stars
11 years ago
Michuzi24 May
10 years ago
MichuziTAIFA STARS TAYARI KUWAKABILI MALAWI KESHO CCM KIRUMBA
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa bei za sh. 5,000 kwa mzunguko, sh. 12,000 kwa jukwaa kuu na sh.20,000 kwa viti vya jukwaa kuu maalum. Taifa Stars inashika nafasi ya 100 katika...
10 years ago
Michuzi30 Mar
TAIFA STARS YATOSHANA NGUVU NA MALAWI, JIJINI MWANZA LEO
10 years ago
Michuzi28 Mar
MALAWI WAFANYA MAZOEZI CCM KIRUMBA LEO, TAYARI KUKUTANA NA TAIFA STARS KESHO JUMAPILI
Na Faustine Ruta, Mwanza.Timu ya Taifa ya Malawi (The Flames) pichani leo jioni imefanya mazoezi ya mwisho tayari kwa kuwakabili Wenyeji wao Tanzania Timu ya (Taifa Stars) mchezo utakaochezwa kesho jumapili saa 10.30 jioni katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Wakibadilishana Mawazo wakati Wachezaji wa Malawi wanajifua mara ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jioni ya leo.
Tiketi za mchezo tayari zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanja wa Nyamagana na uwanja wa CCM Kirumba kwa...