Madereva Taxi Ilala waigomea halmashauri
UMOJA wa Madereva wa Taxi wilayani Ilala (Umatawi), umesema hauko tayari kulipa kodi katika Halmashauri hiyo kutokana na watendaji wake kujaa urasimu na kuendekeza rushwa katika kuwapangia vituo, kisha kuwatelekeza...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Jun
PSPF watoa elimu kwa madereva taxi wa wilaya ya Ilala na madereva kujiunga na mpango wa hiari
Afisa Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Ismail Juma akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF hasa katika uchangiaji wa hiari ambapo mtu yeyote anaweza kujionga alipokuwa akiongea na madereva wa taxi wa wilaya Ilala jijini Dar
Mkuu wa Kitengo Cha Elimu wa Jeshi la Polisi, Kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu, Abel Swai akizungumza na madereva wa taxi wa wilaya ya Ilala(Hawapo pichani) kuhusu kutii sheria za barabarani na...
10 years ago
MichuziMFUKO WA PESHNI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI
10 years ago
VijimamboMFUKO WA PENSHENI WA PSPF WATOA ELIMU KWA MADEREVA TAXI WA WILAYA YA ILALA NA MADEREVA KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI
11 years ago
Tanzania Daima03 Jan
Madereva Taxi watwaa Iringa Service Station Cup
MASHINDANO ya kuwania Kombe la Iringa Service Station yamemalizika kwa Madereva Taxi mjini hapa kuibuka mabingwa. Mashindano hayo yaliyodhaminiwa na kituo cha mafuta cha Iringa Service Station, yalishirikisha timu nne...
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Madereva Tax Ilala wachaguana
CHAMA cha Umoja wa Madereva Tax Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam (Umatawi), kimepata viongozi wapya katika uchaguzi uliofanyika hivi karibuni. Katika uchaguzi huo uliohudhuriwa na wanachama 226 wa chama...
10 years ago
MichuziMh. Mwakwembe azindua magari 54 ya Chama cha Madereva taxi katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Ci0mMjUdPVs/VCFihGL4Y9I/AAAAAAAGlVA/JbSSebrh-5c/s72-c/unnamed.jpg)
Miradi iliyotekelezwa kwa ajili ya kupunguza msongamano katika halmashauri ya ilala
![](http://3.bp.blogspot.com/-Ci0mMjUdPVs/VCFihGL4Y9I/AAAAAAAGlVA/JbSSebrh-5c/s1600/unnamed.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-XZYx-4jzP6o/VCFihWGYnjI/AAAAAAAGlVE/cmq86qOLVUU/s1600/unnamedn.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lFuFVel58GY/XvedMevUfBI/AAAAAAALvtw/PYW7-fFv7tQw9oPkGgdNhE3TwsyY7YDPQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-27%2Bat%2B7.32.29%2BPM.jpeg)
PROF OLE GABRIEL AZITAKA HALMASHAURI NCHINI KUIGA MFANO WA UBORA WA MACHINJIO YA ILALA
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Prof Elisante Ole Gabriel amezishauri Halmashauri zote nchini ambazo zinafanya shughuli za ufugaji kuiga mfano wa Machinjio ya kisasa ya Ilala ili nao waone haja ya kuwa na machinjio ya kisasa yatakayosaidia kuboresha biashara ya machinjio na kuongeza pato la halmashauri zao.
Prof Ole Gabriel ametoa rai hiyo leo ofisini kwake jijini Dodoma alipokutana na Timu ya Wataalamu kutoka Manispaa ya Ilala waliokuja kutembelea Machinjio ya Dodoma ili...