Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madereva wa umma wagoma Brazil

Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi ili kuwatawanya waandamanaji katika siku ya 2 ya mgomo wa wafanyikazi wa sekta ya uchukuzi

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Madereva wa mabasi wagoma

ABIRIA waliokuwa wanasafiri kwa mabasi kutoka Kanda ya Ziwa kuelekea mikoa ya Pwani na Kaskazini, juzi walijikuta wakilazimika kuchelewa kufika mjini Singida kwa zaidi ya saa tatu kutokana na mgomo wa madereva wao.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva UDA wagoma

MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.

 

11 years ago

Mwananchi

Madereva wa daladala za Tegeta wagoma

Madereva wa daladala zinazofanya safari kati ya Ubungo, Mwenge na Tegeta jana waligoma siku nzima wakitaka kufahamu stendi mbadala baada ya kufungwa ile ya Ubungo kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madereva UDA wagoma tena

BAADHI ya madereva wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), jana waligoma kufanya kazi kwa muda wakipinga agizo la kupeleka hesabu ya sh. 205,000 wakidai kuwa haziwezi kupatikana kutokana...

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi ya Uda wagoma

Madereva wa mabasi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), jana waligoma kushinikiza kupunguzwa kiwango cha fedha wanachotakiwa kurejesha kwa siku.

 

11 years ago

BBCSwahili

Madereva wa treni wagoma Uingereza

Wasafiri nchini Uingereza wamekumbwa na changamoto ya usafiri baada ya wafanyakazi wa treni kugoma.

 

11 years ago

GPL

MADEREVA DALADALA WAGOMA KWENDA KITUO KIPYA

MADEREVA wa daladala wanaoegesha magari yao eneo la Ubungo, Darajani jirani na njia panda ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamegoma kwenda kituo kipya kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower. Madereva hao wameamua kuwashambulia wenzao walioonekana kutii amri kwa kuwavunjia vioo vya magari yao jambo lililopelekea polisi kuingilia kati kuwatuliza. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde! ...

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva wagoma Mbeya, wasafiri wahaha kituoni

Wasafiri wanaotoka na kuingia katika wilaya za Mbarali, Rungwe na Kyela mkoani hapa, juzi walishindwa kusafiri kwa muda wa saa saba baada ya madereva wa mabasi kugoma kufanya kazi kwa madai kwamba wamechoshwa kunyanyaswa na maofisa wa Mamlaka ya Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra).

 

10 years ago

GPL

MADEREVA WA MABASI YA UDA WAGOMA KUINGIA KAZINI!

Picha zote zinaonyesha wakazi wa Mbagala wakiwa Mbagala Rangi Tatu wakisubiri usafiri na wengine wakipanda mabasi ya daladala kwa kugombea. Madereva wa Kampuni ya Usafi jijini Dar es Salaam (UDA), leo wamegoma kuingiza mabasi barabarani kwa kinachoelezwa ni madai mbalimbali ya haki zao dhidi ya shirika hilo. Kwa mujibu wa dereva mmoja ambaye hakupenda kuweka wazi jina lake, wamefikia hatua hiyo kufuatia uongozi wao kutosikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani