Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madereva wagoma Mbeya, wasafiri wahaha kituoni

Wasafiri wanaotoka na kuingia katika wilaya za Mbarali, Rungwe na Kyela mkoani hapa, juzi walishindwa kusafiri kwa muda wa saa saba baada ya madereva wa mabasi kugoma kufanya kazi kwa madai kwamba wamechoshwa kunyanyaswa na maofisa wa Mamlaka ya Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

madereva wa daladala jijini Mbeya wagoma kusafirisha abiria leo

Wakazi wa Jiji la Mbeya leo wamejikuta wakiwa katika mazingira magumu baada ya mgomo wa mabasi madogo wa kutopakia abiria kutoka stendi kuu jijini humo,wakitaka wabadilishiwe ruti au kuongezewa nauli kwa sababu ya ruti hiyo inawapa mzungunguko mkubwa sana kulinganisha na nauli wanayoichaji kwa abiria hao.hali hiyo imepelekea abiria mbali mbali wa jiji hilo kupanga kwenye pikup na kulipa nauli ile ile wanayolipa kwenye daladala kama ionekanavyo katika picha mbali mbali zilizopigwa na Mpiga...

 

10 years ago

Habarileo

Madereva UDA wagoma

MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.

 

11 years ago

Habarileo

Madereva wa mabasi wagoma

ABIRIA waliokuwa wanasafiri kwa mabasi kutoka Kanda ya Ziwa kuelekea mikoa ya Pwani na Kaskazini, juzi walijikuta wakilazimika kuchelewa kufika mjini Singida kwa zaidi ya saa tatu kutokana na mgomo wa madereva wao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Madereva wa umma wagoma Brazil

Polisi wametumia gesi ya kutoa machozi ili kuwatawanya waandamanaji katika siku ya 2 ya mgomo wa wafanyikazi wa sekta ya uchukuzi

 

11 years ago

Mwananchi

Madereva wa daladala za Tegeta wagoma

Madereva wa daladala zinazofanya safari kati ya Ubungo, Mwenge na Tegeta jana waligoma siku nzima wakitaka kufahamu stendi mbadala baada ya kufungwa ile ya Ubungo kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea.

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi ya Uda wagoma

Madereva wa mabasi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), jana waligoma kushinikiza kupunguzwa kiwango cha fedha wanachotakiwa kurejesha kwa siku.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madereva UDA wagoma tena

BAADHI ya madereva wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), jana waligoma kufanya kazi kwa muda wakipinga agizo la kupeleka hesabu ya sh. 205,000 wakidai kuwa haziwezi kupatikana kutokana...

 

11 years ago

BBCSwahili

Madereva wa treni wagoma Uingereza

Wasafiri nchini Uingereza wamekumbwa na changamoto ya usafiri baada ya wafanyakazi wa treni kugoma.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani