Madudu uchaguzi serikali za mitaa, wakurugenzi watimuliwa.
Na Mwandishi Maalum.
Serikali imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana
na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti iliyoibua madudu yaliyofanyika katika uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema uamuzi huo pia umeridhiwa na Rais Jakaya...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Dec
Wakurugenzi 6 watimuliwa kuvurunda uchaguzi serikali za mitaa
SERIKALI imechukua hatua kali kwa wakurugenzi 17 wa halmashauri mbalimbali nchini, ambapo sita uteuzi wao umetenguliwa, watano wamesimamishwa kazi, watatu wamepewa onyo kali na watatu wamepewa onyo.
Wote hao wamepewa adhabu hiyo kutokana na kushindwa kutimiza wajibu wao katika kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Jumapili.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia alisema hayo Dar es Salaam...
10 years ago
Michuzi
SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...
10 years ago
Habarileo17 Dec
Wakurugenzi wasimamishwa kwa kuvurunda uchaguzi serikali za mitaa
SERIKALI imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Waziri Ghasia atimua wakurugenzi walioboronga Uchaguzi Serikali za Mitaa
11 years ago
Michuzi
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014


10 years ago
StarTV16 Dec
Uchaguzi serikali za mitaa, Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Na, Winifrida Ndunguru
Dar Es Salaam.
15 December 2014
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA: Serikali yakiri kuwepo na kasoro lukuki.
Serikali imekiri kuwepo kwa kasoro luluki katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika nchini kote Jumapili wiki hii likiwemo suala zima la mkanganyiko wa jina la mgombea kuonekana katika chama kingine.
Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI, Hawa Ghasia, amesema kutokana na kasoro hizo ameitaka mikoa...
11 years ago
Habarileo13 Jul
JK: Uchaguzi serikali za mitaa kusogezwa
RAIS Jakaya Kikwete amesema uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ulikuwa ufanyike mwezi Oktoba mwaka huu, huenda ukasogezwa mbele kutokana na kutokamilika kwa mchakato wa rasimu ya mabadiliko ya Katiba.
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
‘Uchaguzi serikali za mitaa usiahirishwe’
KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema hakuna haja ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kisingizio cha mchakato wa katiba kwani masuala hayo hayahusiani. Hayo...
10 years ago
Mwananchi14 Sep
Uchaguzi Serikali za Mitaa Desemba