Wakurugenzi wasimamishwa kwa kuvurunda uchaguzi serikali za mitaa
SERIKALI imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo18 Dec
Wakurugenzi 6 watimuliwa kuvurunda uchaguzi serikali za mitaa
SERIKALI imechukua hatua kali kwa wakurugenzi 17 wa halmashauri mbalimbali nchini, ambapo sita uteuzi wao umetenguliwa, watano wamesimamishwa kazi, watatu wamepewa onyo kali na watatu wamepewa onyo.
Wote hao wamepewa adhabu hiyo kutokana na kushindwa kutimiza wajibu wao katika kusimamia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji uliofanyika Jumapili.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia alisema hayo Dar es Salaam...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tCT1FfmYvoo/VJF-a6yN8qI/AAAAAAACwkc/OBcRjuUWt3c/s72-c/HAWA%2BGHASIA.jpg)
SERIKALI YAWASIMAMISHA WAKURUGENZI WALIOSHINDWA KUTIMIZA WAJIBU WAO KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
![](http://2.bp.blogspot.com/-tCT1FfmYvoo/VJF-a6yN8qI/AAAAAAACwkc/OBcRjuUWt3c/s1600/HAWA%2BGHASIA.jpg)
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI leo imetangaza kuwasimamisha kazi Wakurugenzi watano (5) huku wengine wakipewa onyo kali katika utekelezaji wa majukumu yao.
Akithibitisha kusimamishwa kazi kwa Wakurugenzi hao,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Mh. Hawa Ghasia amesema kwamba Wakurugenzi hao wametenda makosa yanayowaondolea sifa za kuwa Wakurugenzi.
“Makosa yafuatayo ndio yanayopelekea Wakurugenzi hawa kusimamishwa;Kuchelewa kuandaa vifaa vya...
10 years ago
StarTV17 Dec
Madudu uchaguzi serikali za mitaa, wakurugenzi watimuliwa.
Na Mwandishi Maalum.
Serikali imetengua uteuzi wa Wakurugenzi sita wa Halmashauri, na kuwasimamisha kazi wengine watano kupisha uchunguzi, kutokana
na kubainika kuchangia kuvurugika kwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa, uliofanyika tarehe 14, mwezi huu.
Akitangaza hatua hiyo kufuatia ripoti iliyoibua madudu yaliyofanyika katika uchaguzi huo Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Hawa Ghasia amesema uamuzi huo pia umeridhiwa na Rais Jakaya...
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Waziri Ghasia atimua wakurugenzi walioboronga Uchaguzi Serikali za Mitaa
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s72-c/MMGM8382.jpg)
TAMKO LA KIKUNDI KAZI CHA SERIKALI ZA MITAA CHA POLICY FORUM KUHUSU UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-qqFxjgi9sKQ/U8kYyK3L9hI/AAAAAAAF3YY/uYKNkkaYlUo/s1600/MMGM8382.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-nhubQhZpWwc/U8kYyb0ubPI/AAAAAAAF3Yc/vWolIRDUZ5Q/s1600/MMGM8396.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-f55gkropSAA/VI8E8pITkAI/AAAAAAAG3ZI/mxKfhy1bv6Y/s72-c/unnamed%2B(41).jpg)
UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAFANIKIWA KWA ASILIMIA 98
![](http://3.bp.blogspot.com/-f55gkropSAA/VI8E8pITkAI/AAAAAAAG3ZI/mxKfhy1bv6Y/s1600/unnamed%2B(41).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-JbMfLcd8_10/VI8E8hvI2qI/AAAAAAAG3ZM/vnfyMgwmEDY/s1600/unnamed%2B(42).jpg)
10 years ago
Dewji Blog17 Dec
RC Arusha awapongeza wadau kwa kufanikisha uchaguzi serikali za mitaa kwa amani
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda akiwa ofisini kwake jijini Arusha.
Na Mahmoud Ahmad, Arusha
MKUU Wa mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda (Kijiko), amewapongeza wananchi wa jimbo la Arusha, pamoja na vyombo vya habari na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kufanikisha zoezi la uchaguzi bila ya vurugu wala matukio ya uvunjifu wa Amani .
Mkuu huyo wa mkoa ametoa pongezi hizo leo ofisini kwake alipokuwa akipokea taarifa ya uchaguzi wa marudio wa jiji la Arusha ,uliowasilishwa na...
10 years ago
GPLADC KUSHIRIKI UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA KWA SHINGO UPANDE
10 years ago
MichuziDKT. MAGUFULI AWAPONGEZA CCM CHATO KWA USHINDI MKUBWA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA