Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maendeleo hayana chama — asema Magufuli

DSC_0616

Waziri Wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chato Mheshimiwa Dkt.John MagufuliaAkifurahia na wanachama wapya waliojiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika kata ya Kasenga katika Jimbo la Chato Mkoani Geita.

DSC_0494

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli akitoa maelekezo  kwa Mkuu wa wilaya ya  Chato Rodrick Mpogolo wa pili kutoka kushoto pamoja na Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Chato Ndugu Clement Berege (wakwanza kulia). wa kwanza kushoto...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Magufuli anakimbia chama chake au chama kinamkimbia ?

KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadra sana, na kila upande unaohusika katika ukinzani huo hujijengea dhana yake ya hicho unachokiita ukweli, lakini ambacho kinaweza kuwa mbali kabisa na […]

The post Magufuli anakimbia chama chake au chama kinamkimbia ? appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Raia Mwema

Magufuli anakikimbia chama chake au chama kinamkimbia?

KATIKA mazingira ya ukinzani wa kisiasa, kila unapotokea uchaguzi, ukweli huwa unatumika kwa nadr

Jenerali Ulimwengu

 

9 years ago

Mwananchi

Kingunge ajiondoa CCM, asema chama kimekiuka katiba

Kada mkongwe wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kingunge Ngombale Mwiru leo ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kusema hatajiunga na chama kingine chochote.

 

9 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOUTIKISA MJI WA MOROGORO JIONI YA LEO,JK ASEMA MAGUFULI NDIO JIBU SAHIHI AWAMU YA TANO.

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiwapungia mikono wananchi huku wakiwa wameshika kofia zao.  Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisistiza jambo katika mkutano huo. Wananchi wakiwa wamefurika kwenye uwanja wa Jamhuti mjini Morogoro kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni,ambapo Dkt Magufui aliwahutubia wananchi hao sambamba na kuzinadi sera zake ...

 

10 years ago

Mwananchi

January amvaa Kingunge, asema sasa anakivuruga chama chao

>Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amemtolea uvivu mshauri wa zamani wa Siasa wa Rais Jakaya Kikwete, Kingunge Ngombale-Mwiru kwa kuupinga mchakato wa uteuzi wa mgombea wa urais kwa tiketi ya CCM na kusema anakivuruga chama.

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli asema M4C ni ‘Magufuli for Change’

Mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli amesema maana na neno M4C, linalotumia na Chadema ni ‘Magufuli for Change” akimaanisha ndiye atakayeleta mabadiliko.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo

Kwa maelezo zaidi Bonyeza vidio

The post Mzee Kingunge Ngombale Mwiru Ajiondoa CCM……Asema chama Kimepoteza Mwelekeo appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

CCM Ina Kashfa ya Escrow Tu, asema Msekwa...Atakaye Katwa Jina Anaruhusiwa Kuhama Chama


Makamu mwenyekiti mstaafu wa CCM, Pius Msekwa amesema kashfa ya uchotwaji fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow imekijengea chama hicho chuki kwa wananchi na hivyo kinahitaji mgombea anayekubalika ili kishinde kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba.
Msekwa, ambaye ni mmoja wa viongozi wa zamani wanaotarajiwa kutoa mapendekezo yatakayokuwa msingi wa kupata mgombea wa urais wa CCM, alisema hayo kwenye kipindi cha Dakika 45 kinachorushwa kila Jumatatu na Kituo cha Televisheni cha ITV.CCM imeshaanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani