Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAENDELEO NI KWA VITENDO SIO MANENO: PROFESA MUHONGO

Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameanza kwa kishindo kutekeleza ahadi zake kwa wananchi wa jimbo hilo na huku akiahidi maendeleo kwa kasi zaidi.
Profesa Muhongo alidhihirisha hayo juzi katika kijiji cha Murangi, Mkoani Mara katika kikao chake na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo, watendaji wa Halmashauri ya Musoma Vijijini na madiwani huku lengo la kikao likiwa ni kujadili mipango na miradi ya uchumi na maendeleo ya jimbo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

PROFESA MUHONGO: MAENDELEO NI KWA VITENDO SIO MANENO

Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameanza kwa kishindo kutekeleza ahadi zake kwa wananchi wa jimbo hilo.  Profesa Muhongo alidhihirisha hayo juzi katika kijiji cha Murangi, Mkoani Mara katika kikao chake na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo, watendaji wa Halmashauri ya Musoma Vijijini na madiwani huku lengo la kikao likiwa ni kujadili mipango na miradi ya uchumi na maendeleo ya jimbo hilo.  Katika kikao hicho, iliazimiwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Karume aenziwe, si kwa maneno bali vitendo

Watanzania leo wanafanya kumbukizi ya miaka 43 tangu alipouawa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Sheikh Abeid Amani Karume.

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tunamjua Profesa Muhongo kwa usafi, umakini’

Profesa Sospeter Muhongo ni miongoni mwa makada wa CCM waliochukua fomu za kuomba kuteuliwa kuwani kugombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.

 

11 years ago

Mwananchi

Kupanda kwa umeme, Mnyika azidi kumng’ang’ania Profesa Muhongo

Mbunge wa Ubungo (Chadema) na Waziri Kivuli wa Nishati na Madini, John Mnyika amezidi kumng’ang’ania Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, safari hii akimtaka waziri huyo ajieleze mbele ya Rais Jakaya Kikwete sababu za kupanda kwa gharama za umeme.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APATA MAPOKEZI MAKUBWA WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA. AITWA “MZEE WA NGUZO” NA KUKABIDHIWA ZAWADI KWA KUSAMBAZA UMEME KWA KASI KUBWA WILAYANI HUMO

 Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na wakazi wa Kata ya Mwamalasa wilayani Kishapu.

 Wakazi wa kijiji cha Ndoleleji  wilayani Kishapu wakimsikiliza kwa makini  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (hayupo pichani). Profesa Muhongo ameahidi kuwapatia umeme kabla  ya tarehe 30 Aprili, mwaka huu.

 Wakazi wa Bubiki wilayani Kishapu wakimkabidhi  Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kushoto)  zawadi ya mbuzi...

 

11 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo acharuka

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.

 

10 years ago

Habarileo

Profesa Muhongo ajiuzulu

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter MuhongoHATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.

 

9 years ago

Michuzi

ZIARA YA PROFESA MUHONGO BUKOBA

Serikali imesema ifikapo mwaka 2018 Mfumo wa umeme katika Mkoa wa Kagera utakua umeingizwa kwenye Gridi ya Taifa. Hayo yalisemwa jana tarehe 27 Desemba na Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo alipofanya ziara mjini Bukoba, Mkoani Kagera ili kukagua miundombinu ya umeme.  Ilielezwa kwamba Mkoa huo kwa sasa unapata umeme kutoka nchini Uganda ambao umekuwa ukikatika mara kwa mara na hivyo kulilazimu Shirika la TANESCO kutumia mitambo yake inayotumia mafuta ambayo hata hivyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Vita vya Profesa Muhongo

Sakata la uchotwaji wa fedha kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow linaweza kuwa limefanya jina la Profesa Sospeter Muhongo kuzungumzwa sana na kuonekana amekuwa kwenye wakati mgumu tangu lilipoibuka, lakini ukweli ni kwamba lilikuwa hitimisho tu la matukio mengi tangu msomi huyo aanze kuongoza Wizara ya Nishati na Madini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani