PROFESA MUHONGO: MAENDELEO NI KWA VITENDO SIO MANENO
Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameanza kwa kishindo kutekeleza ahadi zake kwa wananchi wa jimbo hilo. Profesa Muhongo alidhihirisha hayo juzi katika kijiji cha Murangi, Mkoani Mara katika kikao chake na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo, watendaji wa Halmashauri ya Musoma Vijijini na madiwani huku lengo la kikao likiwa ni kujadili mipango na miradi ya uchumi na maendeleo ya jimbo hilo. Katika kikao hicho, iliazimiwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMAENDELEO NI KWA VITENDO SIO MANENO: PROFESA MUHONGO
Profesa Muhongo alidhihirisha hayo juzi katika kijiji cha Murangi, Mkoani Mara katika kikao chake na baadhi ya wananchi wa jimbo hilo, watendaji wa Halmashauri ya Musoma Vijijini na madiwani huku lengo la kikao likiwa ni kujadili mipango na miradi ya uchumi na maendeleo ya jimbo...
10 years ago
Mwananchi07 Apr
Karume aenziwe, si kwa maneno bali vitendo
10 years ago
Mwananchi17 Jun
‘Tunamjua Profesa Muhongo kwa usafi, umakini’
11 years ago
Mwananchi15 Jan
Kupanda kwa umeme, Mnyika azidi kumng’ang’ania Profesa Muhongo
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-uiEfxR1DPfk/VLA5Dw6XYSI/AAAAAAAG8VY/lxc3VNKLhb0/s72-c/unnamed%2B(19).jpg)
WAZIRI WA NISHATI NA MADINI PROFESA SOSPETER MUHONGO APATA MAPOKEZI MAKUBWA WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA. AITWA “MZEE WA NGUZO” NA KUKABIDHIWA ZAWADI KWA KUSAMBAZA UMEME KWA KASI KUBWA WILAYANI HUMO
![](http://4.bp.blogspot.com/-uiEfxR1DPfk/VLA5Dw6XYSI/AAAAAAAG8VY/lxc3VNKLhb0/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2EUDvqIPqk0/VLA5EENpUWI/AAAAAAAG8Vw/O6DCoOihWWY/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-SpqID-27gnA/VLA5EUBwhVI/AAAAAAAG8Vo/az4eL8wG2wk/s1600/unnamed%2B(21).jpg)
11 years ago
Habarileo02 Feb
Profesa Muhongo acharuka
WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amesema baadhi ya kampuni zinazotumiwa na Wakala wa Nishati Vjijini (REA) kuwaunganishia umeme wakazi wa vijijini, zinaomba rushwa, hivyo kuwaondolea matumaini ya kuondokana na umasikini.
10 years ago
Habarileo25 Jan
Profesa Muhongo ajiuzulu
HATIMAYE baada ya kukabiliwa na shinikizo la muda mrefu kuanzia katika vyombo vya habari, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na baadaye katika vikao vya vyama vya siasa, Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amejiuzulu wadhifa huo.
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-VXdTgydjDI8/VoBKpT5DO7I/AAAAAAAIO8s/855BLgBB2Hs/s72-c/2ae85807-6a1a-4f5b-b7ec-4c2d83078f22.jpg)
ZIARA YA PROFESA MUHONGO BUKOBA
10 years ago
Mwananchi25 Jan
Vita vya Profesa Muhongo